Jun 1, 2017

UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2017!?


Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:-
  • Azam tv inauzwa Tsh 135,000/= Hii bila kifurushi wala Ufundi! Ila ina Offer katika malipo! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Digitek inauzwa Tsh
  • DStv inauzwa Tsh 79,000/=  Hii bila Ufundi ila ina Offer ya kifurushi cha mwezi mmoja! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Continental inauzwa Tsh 120,000/= ya Dish na Tsh 40,000/= ya Antenna. Hii bila ufundi ina Offer ya kifurushi cha mwezi mmoja! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • StarTimes inauzwa ya Dish Tsh 78,000/= na ya Antenna Tsh 47,000/= Hii bila ya Ufundi ina Offer ya kifurushi cha mwezi mmoja! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Ting inauzwa ya Dish Tsh na ya Antenna Hii bila Ufundi
  • Zuku tv inauzwa Tsh 88,000/= Hii bila Ufundi ila ina Offer ya kifurushi cha mwezi mmoja! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Nelson Majura Lusatho Kebeyo said...

Mbonanhujaweka bei za king'amuzi cha Ting na Digitek?

Mketo Tz0715849684 mketo said...

Kipi kizuri hapo