Dec 1, 2014


Lengo la kuwa na vifurushi tofauti ni kutoa fulsa kwa kila mdau kuweza kununua na kufanya malipo ya mwezi kutokana na uwezo wake.
Hivi ndivyo vifurushi vya Zuku,idadi ya channel na bei kwa ujumla:-

KUPATA BEI NA VIFURUSHI VIPYA VYA ZUKU TV BOFYA HAPA
1-ZUKU SMART PACKAGE
Ina channel 30 safi.
Malipo Tsh 10,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

2-ZUKU CLASSIC PACKAGE
Ina channel 69 safi.
Malipo ni Tsh 18,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

3-ZUKU PREMIUM PACKAGE
Ina channel 100 safi.
Malipo ni Tsh 25,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

4-ZUKU ASIA PACKAGE
Ina channel 27 safi.
Malipo ni Tsh 24,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

RADIO
Ina channel 50 safi.
Bofya Hapa kujua Radio zilizopo!

+255 789 476 655
1:22 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Napenda unachokifanya kikamilifu!

Anonymous said...

Wezesheni kubadili kifurushi kwa kutumia simu ya mkononi.

Anonymous said...

channeli za zuku za Tsh 10000 ni zipi?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search