Call / WhatsApp +255755949413

Dec 30, 2014

NAWATAKIWA KILA LA HERI | BYE 2014 | KARIBU 2015

Namshukuru sana Allah,ni yeye ndiye aliyefanya mpaka sasa nipo hapa,wengi walitamani waifikie siku hii lakini kwa mapenzi yake hatupo nao,mpaka kufika hapa nasema Alhamdulllah! Nakushukuru wewe mdau wangu ambaye haipiti siku bila kutembelea haka kablog chetu na kila...
Share:

Dec 11, 2014

MUSTAPHA MADISH | TV SHOW

Hii ni hatua nyengine nzuri zaidi kwangu na kwa wadau wangu wale wa zamani na wapya pia.. Lengo likiwa lile lile kuwaelimisha yote yanayohusu ving'amuzi,kuwaonyesha kilicho bora ili ukiepuke kilicho feki.. Ingawaje kwenye blog hii sijawahi kutoa zawadi ila kipindi kitahusisha...
Share:

Dec 8, 2014

KUWENI MAKINI | ANAJIITA MUSTAPHA MADISHI | FACEBOOK

Mustapha MaDish mwenyewe. Kuna wanaodhani ilikuwa ni jambo la siku moja tu na nikaweza kufika hapa ama kufanya meengi kwa wakati mmoja,ama kupata kupokea simu kwa siku mpaka unafanya kutembea na charg! ...haikuwa rahisi hivyo,ilihitajika kwanza kupenda nnachofanya,juhudi...
Share:

Dec 7, 2014

GRAND CONFECTIONARY BAKERY LTD | ZUKU INSTALLATION

Hapa ni maeneo ya Keko Mwanga jengo la pili toka Lab Equipment,nazungumzia Bakery ya Grand Confectinary wala si la kujiuliza walitupataje ama kwanini tumefika hapa! Mwendo ni ule ule wa kupiga no.+255789476655 unachagua king'amuzi utakacho,unasema ulipo kisha sisi tunakufata...
Share:

Dec 6, 2014

AIRTEL DIGITAL TV | KING'AMUZI CHA AIRTEL

La kwanza ambalo utajiuliza  mitandao ya simu nayo inachangamkia fursa!? Ikumbukwe ya kuwa mwaka ndio mwaka wa mwisho kutumia Analogue,ifikapo tarehe 31 mwezi huu,saa 23:59 tunachotakiwa labda kuizungumzia Analogue tu lakini si kudeal nayo... Lakini ambapo tunaelekea...
Share:

Dec 2, 2014

DCB HQ| DIGITEK INSTALLATION

Hapa ilikwisha fungwa Digitek muda tu ila kutokana na ujenzi wa kupanisha ghorofa mbili zaidi iliwalazimu kuitoa Antenna ilipofungwa awali na kungoja mpaka ujenzi umalizike ili itafutwe pa kufunga tena ili burudani iendelee kama ilivyo awali! Safari hii wala sikuiweka...
Share:

Dec 1, 2014

ITV KWENYE DSTV

Ni mapenzi ya wateja wengi wa DStv pindi watakapoona ITV ikiwa inapatikana kwenye king'amuzi hicho na hii pia itapelekea kuwashawishi wengine ili waweze kujiunga na familia ya DStv! ITV ni miongoni mwa channel za Tanzania zinazopendwa sana licha ya vipindi vyake na kwa...
Share:

ZUKU PACKAGES | VIFURUSHI VYA ZUKU

Lengo la kuwa na vifurushi tofauti ni kutoa fulsa kwa kila mdau kuweza kununua na kufanya malipo ya mwezi kutokana na uwezo wake. Hivi ndivyo vifurushi vya Zuku,idadi ya channel na bei kwa ujumla:- KUPATA BEI NA VIFURUSHI VIPYA VYA ZUKU TV BOFYA HAPA 1-ZUKU SMART...
Share:

Nov 26, 2014

MIEZI MITATU BURE | TOKA KWANGU | KUJA KWAKO

Cha kwanza unachojiuliza ni miezi mitatu ya bure toka kwangu kuja kwako ni ya nini!?.... Nagawa ving'amuzi....? Nawalipia Malipo ya mwezi.......?? Nafunga ving'amuzi bure.......?? Jibu lake ni rahisi sana....!! 1.Chukua simu yako bofya no.+255789476655 2.Chagua...
Share:

Nov 23, 2014

OFFER YA STARTIMES TSH 59000/=

Tarehe 24/11/2014 rasmi offer inaanza kwa wateja wote wapya! Hii inakuwa inajumuisha na malipo ya mwezi mmoja! Swai ambalo ungetamani kuniuliza ni je Startimes hiyo ni ya Dish ama Antenna! Jibu ni kwamba hii ni offer kwa Startimes ya Antenna! Wakati ni wako kuchangamkia...
Share:

Nov 19, 2014

OFFER YA DSTV EXPLORA

Hii maana yake Multichoice Tanzania ( DStv ) imekusudia kila mtu apate kilicho bora kwa bei nafuu na kwa wakati ! Kwa sasa ili umiliki Decoder ya Explora sio lazima mfuko wako uwe umetuuuna la! Kwa Tsh 281,000 tu unapata Decoder yako ya Explora! Unazijua sifa za Explora...
Share:

Nov 14, 2014

AZAM TV | UBUNGO FLAT

Hapa bada niwe tu mkweli,awali nilikuja kufunga Continental ya Dish ila mteja wangu huyu alinunua mwenyewe Decoder ambapo dish alikuwa nayo nilichofanya ni kufanya yangu ili Channel za Continental ziweze kumwagika bila chenga! Yap nikafanya ya kufanya zikajaa ambapo idadi...
Share:

UNAIJUA CABLE TV !?

Maswali yamekuwa meengi mkitaka kujua cable tv inafanyaje kazi na huku wengine mkitaka kujua namna ya kuanzisha cable tv zenu huku mkitoa ushuhuda jinsi zilivyo na wapenzi hasa mikoani kwakuwa ni rahisi sana tofauti na huduma nyengine za ving'amuzi...!! Je kweli ni rahisi!? Je...
Share:

Nov 12, 2014

OFFER YA DSTV BADO INAENDELEA | TSH 99,000/=

 Setting zikiendelea.. Hapa ni mbezi,unaingilia maramba mawili ila huko mbele nimesahau panaitwa Mbezi gani,kwakuwa kile cha umuhimu kutakiwa kufanya nimefanya kwa usahihi kabisa hivyo tukishare picha sio mbaya! KUUNGANISHWA NA DSTV | MAFUNDI WA DSTV | P...
Share:

Nov 8, 2014

WEWE NI FUNDI MADISH | HII INAKUHUSU SANA

Hapa nazungumzia wale ambao wapo kitambo na ambao wamejiunga hivi karibuni ama hata kama unataka kuingia ukanda huu kwa mikono miwili nakukaribisha na hii post inakuhusu sana zaidi ya yote ukiyachukua yangu na kuyafanyia kazi majibu utanirejeshea! Ufungaji wa Dish ya Azam...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413