
Namshukuru sana Allah,ni yeye ndiye aliyefanya mpaka sasa nipo hapa,wengi walitamani waifikie siku hii lakini kwa mapenzi yake hatupo nao,mpaka kufika hapa nasema Alhamdulllah!
Nakushukuru wewe mdau wangu ambaye haipiti siku bila kutembelea haka kablog chetu na kila...