Oct 1, 2014

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Bomba
FTA

KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
DishMICHEZO


SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select


SINEMA

Movie Zone
Africa Magic Epic Movies
Africa Magic Hausa
Africa Magic Yoruba
Africa Magic Lgbo
Africa Magic East
Maisha Magic BONGOBURUDANI

Telemundo
E!
CBS Reality
CBS Action
CBS Drama
AMC
Vox Africa
TVC E


HABARI NA MAELEZO

BBC World
Al Jazeera
CNBC Africa
Bloomberg Tv
CNC World
SABC News


 MAKALA

National Geo Wild
DiscoveryFamily
ED
Spice Tv


MAISHA

Fashion TV


DINI

One Gospel
TBN
Daystar
Islamic channel
EWTN
Inspration TV
Kingdom Africa
Dove Tv
Emanuel Tv
FAITH


MUZIKI

Hip Tv
Sound city

WATOTO

Nickelodeon
Disney Junior
JimJam
Mindset Learn

KIMATAIFA

Zee World
NDTV 24*7
RAI International
TV5 Monde Afrique
 CCTV 4
CCTV Documentary
CCTV French
CCTV Entertainment
China Movie Channel
Shanghai Dragon Tv
Hunan Tv
Jiantsu Channel
Phoenix News Ent
RTPI
TV Mundal

RADIO

Over 40 Channels

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI Bofya Hapa
KUPATA MAFUNDI WA DSTV Bofya Hapa
VIFURUSHI VYA DSTV Bofya Hapa  
KUJUA BEI NA KUNUNUA DSTV Bofya Hapa

Kwa Maelezo zaidi  Piga +255789476655

12:03 PM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , , with 49 comments

49 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Wow, superb blog structure! How long have you ever been blogging for?
you make running a blog look easy. The total glance of your website
is excellent, let alone the content!

My blog post: Louboutin Shoes

Anonymous said...

Hi there mates, its great article regarding educationand entirely explained, keep it up all the time.


Also visit my web-site ... best Gardening Video

Anonymous said...

supersports blitz mbona siioni>

FRANK KAPONGO said...

200

BARADIGE JACKSON said...

Kwel huduma nzuri

BARADIGE JACKSON said...

Huduma nzuriii

BARADIGE JACKSON said...

Mnajitahidi

Anonymous said...

Nzuri sana

Anonymous said...

Mm sipati channel yoyote dstv na nimelipa 17,000 jana tu, niliona baadhi ya stations halafu ikapotea ghafla, sasa sipati hata station moja!!!!

Mustapha MaDish said...

Ahsante ndugu Baradige Jackson!

Mustapha MaDish said...

Ahsante mkuu Frank Kapongo kwa kumsaidia huyu ndugu aliyekuwa haioni Super sports Blitz

Mustapha MaDish said...

Ndugu uliyelipia kifirushi then uliona kwa muda mfupi alafu huoni tena..
kwanza nikupe pole kwa usumbufu na unapaswa kufanya yafuatayo wakati wa kufanya malipo:-
1.Hakikisha Decoder yako ipo on kabla hujafanya malipo.
2.weka channel no.200 Super Sports Blitz.
3.Lipia package uliyoichagua kwa njia zilizopo.Kama umelipia kupiti simu,bank ama mfumo wowote tofauti na Office za DStv itapokea baada ya dk 15.
4.Kama kifurushi unacholipia ni tofauti na kile ulicholipia awali itakulazimu kupiga simu baada ya kufanya malipo.
5.Hakikisha unalipia pesa kamili kwa kifurushi husika,kwa kawaida hata ikipungua tsh 100 haifunguki,hivyo kama kifurushi cha bomba kwa sasa ni tsh 18500 hivyo kama umelipia tsh 17000 haitafunguka,mpaka pale utakapoongeza pesa iliyobaki.
Karibu

rufina said...

rufina.samahani hivi dstv haina huduma ya kutoa channel za Tanzania bure

Mustapha MaDish said...

Pole ndugu Rufina
Ving'amuzi vyote local channels zinatakiwa ziwe bure hata kama itakuwa hujalipia malipo ya mwezi zibaki ila Dstv ni kati ya ving'amuzi ambavyo haviachi local channel bure.

hawa said...

Mbona nimelipia 18500 sioni channel zingine kama epic movie,channel ten,african magic swajili

Anonymous said...

Sorry fundi hivi dstv unaweza ukalipia miezi mitatu kwa Mara moja?

Rogate Junior said...

Haina Nouma kaka mustapha mpe hai Henry wa rangers madish

Muyahamisi said...

Habar yako mkuu m account yang imekuwa suspended je nifanyaje ili ni activate na kuendelea kula mzigo kama kawa

Anonymous said...

hbr kaka, nimelipia account yangu kiasi cha Tsh.22,000/= jana saa 4 usiku hadi sasa sijaona hata channel moja...NISAIDIE TAFADHALI

Anonymous said...

Jamani mimi channel O mbona siioni na kifurushi cha bomba inaonyesha hiyo channel ipo, nifanyeje niweze kuiona? Ila bei zenu zinapanda kila baada ya miezi sita, wenye kipato cha chini watashindwa

Anonymous said...

kifushi cha dstv bomba ni lazma nibadili decoder?au

Unknown said...

ushauri tu:
hiyo list uliyotuandikia ungetusaidia na kutuandikia channel number kwasababu ni tabu saa nyingine kutafuta kwajina.
utuandikie mfano:
Super Sport Select - 233

itatusaidia sanaa.
Asante

Be successfully said...

Tunaomba hizo channels mtuandikie na namba zake ndio itakuwa rahisi kuzipata.

Anonymous said...

Tunaomba mpitie upya bei zenu maana ni kubwa mno

Anonymous said...

Tunaomba mpitie upya bei zenu maana ni kubwa mno

Anonymous said...

Tunaomba mpitie upya bei zenu maana ni kubwa mno

mohamed mohamed said...

mm nimenunua juz decoder hii Na nimelipia 23500
nimepata channel nyingi tu ila clouds haipo
Pia naombeni msaada mm napenda mpira so ni channel gani ambayo ipo Kwenye kifurushi hiki cha 23500

msaada����

Anonymous said...

Sasa kwa mini ITV haipo kwenye Huduma hii?

David David said...

Hakuna channel za bure kama dekoda zingine?

Jerusalem Israel said...

Samahani kaka naomba kuuliza,je kama nataka chanel za india kama B4U plus,Star plus, Zee cinema,Sony saab na nyinginezo nafanyaje? Na decoder nayotumia ni cha dstv?

Hafidh Moh said...

Hello..mm nina decoder ya zamani je kuna utaratibu wa kubadikishiwa na kuoewa HD hata ku top up pesa?

Hafidh Moh said...

Hello..mm nina decoder ya zamani je kuna utaratibu wa kubadikishiwa na kuoewa HD hata ku top up pesa?

Anonymous said...

Chanel gan huwa inaonyesha mpira hii kifurushi

Anonymous said...

Sijafurahishwa na utaratibu wa kupokea malalamiko na kanuni mlizoweka....mimi nimekuwa nalipia dstv yangu kwa mda sasa zaidi ya mwaka ama miaka miwili.
Kwa kazi yangu kunamiezi sipo nyumbani...wanafamilia wangu hawapendi mpira yaani supertsport channels hivyo wakati sipo huwa nalipia ama wanalipia bomba kifurushi....nikiwapo nalipia compact sasa imetokea wameshindwa kufanya malipo wakaenda kwa wakala akawalipishwa kifurushi cha bomba...na akaactivate compact kama kifurushi. ...kwa makosa ama makusudi wao bila kujua wakarnda mwisho wa mwezi tena kufanya malipo yao kama kawaida 23500...lakn haikuweza kuwa active mpaka sasa takribani wiki 2...nauliza dstv wanaishia ni kanuni hiki ndicho kinachonikera.
Anayekupimia ni mwingine tena baada ya wao kulipia elfu 14 wakashidwa kupata huduma wakaona wamwone wakala nae akawapa maelekezo kwamba wanapaswa walipe elfu 23500 wakafanya hivyo...sasa iweje wapatiwe zaidi ta huduma na iwe deni kwangu.
Tafadhali naomba hili litazamwe upya na wakala awajibike kwa makosa yake.

Anonymous said...

Sijafurahishwa na utaratibu wa kupokea malalamiko na kanuni mlizoweka....mimi nimekuwa nalipia dstv yangu kwa mda sasa zaidi ya mwaka ama miaka miwili.
Kwa kazi yangu kunamiezi sipo nyumbani...wanafamilia wangu hawapendi mpira yaani supertsport channels hivyo wakati sipo huwa nalipia ama wanalipia bomba kifurushi....nikiwapo nalipia compact sasa imetokea wameshindwa kufanya malipo wakaenda kwa wakala akawalipishwa kifurushi cha bomba...na akaactivate compact kama kifurushi. ...kwa makosa ama makusudi wao bila kujua wakarnda mwisho wa mwezi tena kufanya malipo yao kama kawaida 23500...lakn haikuweza kuwa active mpaka sasa takribani wiki 2...nauliza dstv wanaishia ni kanuni hiki ndicho kinachonikera.
Anayekupimia ni mwingine tena baada ya wao kulipia elfu 14 wakashidwa kupata huduma wakaona wamwone wakala nae akawapa maelekezo kwamba wanapaswa walipe elfu 23500 wakafanya hivyo...sasa iweje wapatiwe zaidi ta huduma na iwe deni kwangu.
Tafadhali naomba hili litazamwe upya na wakala awajibike kwa makosa yake.

Mustapha Hanya said...

> Pole mkuu mwenye tatizo la kulipishwa kifurushi ambacho si malipo uliyolipa..Tatizo ambalo umekumbana nalo sio geni limeshawatokea wateja kadhaa wa DSTV..Hili ni tatizo na uzembe ni wa wahudumu wa DStv matokeo yake unaangushiwa mteja..La kufanya njoo private nikwambie la kufanya! +255789476655

> Pia kwa wale ambao wanamaulizo yanayohitaji ufafanuzi wa haraka naomba upige no.+255789476655.

>Kwa kifurushi hiki channels za mpira ni SS Select 1 na 2

> Kwasasa hakuna utaratibu wa kubadilishiwa Decoder isipokuwa unapaswa kununua Decoder mpya kisha Details zako zilizopo kwenye Decoder hiyo ya zamani zinahamishiwa kwenye mpya @Hafidh

> Ili upate hicho channels kuna kifurushi kinaitwa ASIA PACKAGE kinapatikana kwenye Decoder yako ya DStv!@Jerusalem

> Channels za bure baada ya malipo kukata hakuna kwasasa DStv!@David

} mustaphamadish@gmail.com {

Eliud said...

kila nikijaribu kununua package ya bomba inashindikana. hata pale niliponunua pesa yangu iliibiwa na watu waliopo kwenye mtandao wa DSTV. mmejipanga vipi kuzuia wizi huu unaofanywa na baadhi ya watumishi au wakala wa DSTV, maximalipo na selcom. wanadaka hela zako juu kwa juu na hazifiki DSTV.

Joseph Pilla said...

naomba dstv iongezwe east africa tv chanel

Joseph Pilla said...

naomba iongezwe east africa tv chanel kwenye dstv.

Anonymous said...

naomba iongezwe east africa tv chanel kwenye dstv.

Diana Shirima said...

Hello, na mimi naweza kukupigia?

Kisha said...

Decorder mnauzaje ndugu?

BELAFONTE STEVEN said...

Hello nimenunua dstv king'amuzi but kijasajili hadi sasa na leo kunamechi jamani plzs naomba msaada

Anonymous said...

Mustapha samahani kwa hiki kifurushi naweza pata channel za mpira ya ligi ya england na zingine na ni channel gani naomba nifahamishe kwa namba

Anonymous said...

Nahitaji kujua hili pia

Anonymous said...


Napenda kujua kama sijalipia kifurushi kwa muda fulani kinafungwa au inakuwaje?

Mireni Jr. Deussons 5C said...

Kabisa. Wangeweka pia Number ya channel husika ili kuturahisishia kwenye kusearch

Unknown said...

Naomba kuuliza,nikitaka kuangalia epl nalipia kifurushi gani?

Anonymous said...

Heya i am for the primary time here. I found this board and I find It really useful
& it helped me out much. I hope to provide one thing again and aid others like
you helped me.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search