MFALME WA BURUDANI ZA FAMILIA
Offer hii inakupa unafuu kama ifatavyo:-
- Kwa Tsh 78,000 StarTimes ya Dish - Unapata vifaa pamoja na kifurushi cha mwezi mmoja.
- Kwa Tsh 34,000 Decoder ya Antenna.
- Ufundi Tsh 30,000 Startimes ya Dish.
- Ufundi Tsh 20,000 Startimes ya Antenna.
- Vifurushi vya Startimes Bofya Hapa
- Kununua StarTimes
- Kupata mafundi wa StarTimes
- Umelipia na bado hupati picha ?
- Jinsi ya kuhama kifurushi
Kwa Maelezo zaidi +255789476655
Whatsapp+255784378129
12 Unasemaje..??:
napatawapi kwa kigoma hii ofa?
Naomba namba ya wakala wa bukoba
nahitaji cha dish nipo kkoo nakihitaji
Lini mtaweka chaneli kama vile Kbc, Qtv, Ntv, k24 na za Uganda?
Habari,,,,naomba bei ya king'amuzi cha antenna cha Startimes
Je huduma zenu zimefika konde kaskazini pemba
Hivi ving'amuzi vina port ya flash
Nathitaj startimes decoder. Ni bei gani kwa sasa.
Naomba kujua bei ya king'amuzi cha stertimes cha dishi kwa bei y promosheni 2019 mikoani ikoje?
Sijaelewa bei zeno
Napata wap kwa shinyanga hii ofa ya hicho king'amuzi
bei ya king'amuzi cha dish kwa sasa sh ngapi Tanzania?
Post a Comment