
KUHUSU AZAM TV
Wadau,
Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena
kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na
kutokuwa na haki za kuendelea...