
Mwaka 2014 ndio huu unaelekea ukingoni ambapo mwakani mwaka 2015 inatupasa nchi nzima tuwe tumeshahamia Digital huku tukiwa tumeondokana kabisa na Analogue!
Ijapokuwa kuigia Digital kulikuwa na misemo mingi,wapo waliunga mkono ambapo idadi kubwa walilalama huku kila mtu akiwa...