Call / WhatsApp +255755949413

Mar 30, 2014

DSTV COMPACT PACKAGE | CHANNELS 85+ | TSH 69,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Compact FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 9 SuperSport 9 East SuperSport...
Share:

DSTV WAKONGWE WA DIGITAL....!!

Mazuri yanayoendelea mwezi huu wa nne! Ikumbukwe kwamba kandanda ndio nyumbani na kwa uchache ratiba ni kama ifuatavyo! KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA +255789476655/714973797/659161...
Share:

Mar 15, 2014

ZILIANZA CHANNELS 52...

Naizungumzia Azam tv "Burudani kwa wote" Awali zilianza channels 52 huku ahadi ikiwa zitakuwa zinaongezeka kila baada ya muda,wapo ambao waliamini na wapo waliodhani ni katika kutaka kuuza tu! Kuanzia tarehe 28 mwezi wa pili utekelezaji ulianza kwa zile channels ambazo...
Share:

Mar 13, 2014

RECEIVER KWA TSH 60,000/=

 Gulf Star GS-8100 ...
Share:

Mar 1, 2014

KUTANA NA MAFUNDI WASAFI HUDUMA SAFI

 Mustapha Madish  Mustapha MaDish na Herry Msamila  Ba'Fetty Hii ni kwa nchi yetu tu na baadhi ya nchi za Africa Imezoeleka kuwa yeyote aitwae fundi bila kujali wa nini kinachofuata ni dharau na mtu anakujengea picha lazima utakuwa mchafu! Naongea...
Share:

Feb 28, 2014

HATIMAE ITV NA EATV KWENYE AZAM TV

Leo ilikuwa ahadi kwamba kuna kitu kipya wadau wa azam tv wakae tayari kukipokea na watafurahia na ndicho kilichotokea!! Baada ya ngoja ya muda mrefu yametimia! Mengine yatafuata kama tulivyowaahidi!...
Share:

BEI ZA VING'AMUZI VINAVYOFANYA VIZURI!

Kiukweli king'amuzi chenye wateja wengi kwa hapa kwetu Tanzania ni DSTV ukiachilia ukongwe walionao pia vipindi vyao ndo sababu kuu ya kuuza na kama ulikuwa hujui matokeo ya wadau yanaonyesha mpira ndio unauza sana!! Bei ya DSTV kwa sasa ni 149000/= King'amuzi ambacho...
Share:

Feb 27, 2014

LOCAL CHANNEL ZA BURE

 Kiukweli muda kidogo sijafanya kazi za local channel,si mpya wala ya kuirudi ya zamani kuwa mpya kutokana na ukweli kwamba ving'amuzi vimekuwa vingi na wadau wengi nawauzia vya malipo ya mwezi tu! Ila leo imenirejesha kuleee ambapo ilikuwa kwa siku nafunga dish mbili...
Share:

Jan 30, 2014

AZAM TV UNAWEZA KUONA TV ZAIDI YA 1!!

Swali ambalo wengi wamekuwa wakiniuliza lakini jibu huwa nawaambia unaweza kuona kwa tv moja tu na ndivyo ilivyotengenezwa ila kwakuwa uwanja ni wetu hakuna linaloshindikana!! Yap unaweza kutumia Decoder ya Azam tv moja ukaona tv zaidi ya 10 na zote zikiwa saaafi isipokuwa...
Share:

Jan 28, 2014

DSTV EXTRA VIEW

 DSTV EXTRA VIEW bado inaendelea kufanya vizuri sana!! Labda kwa wale wasiojua huduma ya DSTV EXTRA VIEW ni kwamba unakuwa na A/C moja ila Decoder mbili ambapo unaweza kutumia kwa tv mbili kila mtu na channel yake na malipo ya mwezi inazidi 16000 kwa Package yeyote utakayoitaka!  Hapa...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413