Call / WhatsApp +255755949413

Jun 26, 2015

AZAM TV BEI MPYA TSH 135,000/= BILA UFUNDI!

Ingawaje mikoani na sehemu nyingi tu bado wanauza bei wanazojua wao ila bei elekezi ni tsh 135,000 tu,hii inakuwa bila kifurushi wala ufundi! Ili ufungiwe itakulazimu kulipia tsh 30,000 tu,ambao itakulinda kwa muda wa miezi mitatu na ikitokea ikasumbua fundi atakuja kumaliza...
Share:

Jun 19, 2015

RAMADHANI KAREEM

Tumeanza mwezi,mwezi ambao kwetu sisi waislamu una maana kubwa sana kwa haraka haraka tu huu ndio mwezi ambao quraan tukufu ndio ilishushwa mwezi huu na kwa uchache zaidi ndio mwezi ambao mwenyezi mungu anatusamehe dhambi zetu tulizonazo na tutakazokuwa nazo,ni mwezi ambao...
Share:

Jun 18, 2015

LOADING...

Nilichogundua karibu ving'amuzi vyote vina mapungufu na hii inatokana na kujisahau,wafanyakazi kufanyakazi bila juhudi binafsi wanafanya ile bora liende mwisho wa mwezi tukinge,pia makampuni yenyewe husika hayajajipanga katika baadhi ya mambo ili kukabiliana na ushindani...
Share:

Jun 16, 2015

BEI MPYA YA MALIPO YA MWEZI AZAM TV

Burudani kwa wote.. Kwa mujibu wa Azam tv bei za vifurushi zimepanda kutokana na ungezeko la kodi, hivyo kile kifurushi cha tsh 10,000/= kimekuwa tsh 12,000/= kifurushi cha 15,000/= kimekuwa tsh 20,000/= na kifurushi cha 20,000/= kimekuwa tsh 30,000/= Pia siku za usoni...
Share:

Jun 10, 2015

VIFURUSHI VYA TING | TING PACKAGES

Hivi ndivyo vifurushi vilivyopo na bei zake kwenye king'amuzi cha Ting kwenye Antenna na kwenye Dish! 1.REGULAR PACKAGE Inachannel 12+ safi Malipo ni Tsh 11,000/= Kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki! Package hii ni kwenye Antenna tu! 2.CLASSIC PACKAGE Ina...
Share:

Jun 9, 2015

KUNUNUA KING'AMUZI CHA ZUKU TV TANZANIA

Remote ya Zuku Ili kutoa fulsa ya kila mtu aweze kununua kinga'amuzi cha Zuku Tv imeonelea kushusha bei,ambapo sasa ili kununua zuku itakulazimu kulipia Tsh 88,000 tu,badala ya Tsh 95,000/= ila hii inakuwa bila ufundi. Ili ufungiwe itakulazimu kulipia Tsh 30,000 tu,pesa...
Share:

May 18, 2015

KWANINI TUMELAZIMIKA KUIGIA DIGITAL NA KUACHANA NA ANALOGUE?

Mabadiliko katika mfumo wa utangazaji kutoka mfumo wa analojia kwenda katika mfumo wa dijitali ni utaratibu ambao unaendelea ulimwenguni kote. Mabadiliko haya yanatokana na makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa lenye dhamana ya masuala ya mawasiliano...
Share:

May 11, 2015

VING'AMUZI VINAVYOCHUANA | AZAM TV & DSTV | KIPI NI ZAIDI!?

Dstv ni wakongwe hii haina ubishi,ila ukongwe wa dstv haina maana kuwa hakuna king'amuzi ambacho kinaweza kuja na kufanya vizuri zaidi yake,hii inatokana na kwanza kujua mahitaji ya watazamaji kwa ujumla na kuwatimizia kile wanachokihitaji,unafuu wa bei ukizingatiwa. Azam...
Share:

May 1, 2015

STAR TV | AZAM TV | PAMOJA SASA

Awali ilikuwa ili kupata Star tv kwenye king'amuzi cha Azam ilikuwa ni fundi na ufundi wetu tu,kwani ilikuwa tunafunga satellite mbili kwa wakati mmoja ila baadae wenye mali yao hapo Satellite ya Amos 5 wakafanya ya kufanya. Baada ya vuta nikuvute hatimae sasa Star tv imeungana...
Share:

Apr 27, 2015

MVUA NA VING'AMUZI VYETU

Kwa kawaida mvua inapokuwa inanyesha watu wengi nami nikiwa mmojawapo huwa mapenzi yapo kukaa sehemu tulivu kama panaruhusu unaangalia tv,iwe ni movie ama vyovyote vile ijapokuwa mimi mapenzi yangu kuangalia movie... Ikiwa una king'amuzi chako na unataka kuangalia huku...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413