Call / WhatsApp +255673378129

Jul 9, 2014

BVN CHANNEL - OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi kupata mteja wa channel hii,tena ilikuwa baada ya mafundi kadhaa kuambulia patupu ikiwa wameshapoteza siku kama si masaa!!
Kipindi hicho niliweza kufanikiwa kuipata kwenye Dish ya ft8,nikimaanisha c band!
Oysterbay jijini dar,wenzangu na mie wanapaita pa kishua ila sina sababu ya kubisha!
Hakuna tofauti na mteja wangu yulee wa miaka ile,kwa maana wote wametokea taifa hilo na walihitaji channel ya nchini mwao!

Kwenye KU ft4 na Receiver ya kawaida tu,Mustapha MaDish nikaileta Netherland Tanzania kwa dk zisizozidi 45,baada ya hapo kuchapa mwendo kukahusika!

Kwa mahitaji ya Mafundi/Ving'amuzi vinatumia Dish aina zote hapa ndipo jibu lako!
Piga:-0789476655/0732575718/0859161111
Email:mustaphamadish@gmail.com
Mahali:Magomeni Mapipa/Morogoro rd 

Share:

Jul 8, 2014

NILIYONAYO KWAKO...

 Baba na Mwana
Nawasikitikia sana wale wanaopiga mechi za kikubwa kisha wanakimbiana,sababu zikiwa nyingi zisizo hesabika huku mwanamke akibaki mjamzito,ujauzito ambao mwisho wake unakuwa sio mzuri sana kwa maana wapo ambao wanaamua kutoa..hapa kwenye kutoa wapo waliofanikiwa kuchota dhambi kwa wingi na wapo waliopoteza maisha wakiwa katika kutimiza hilo!
Pia wapo waliamua kwa dhati kujifungua huku akijua yeye ndiye atakayekuwa baba na yeye ndiye atakayekuwa mama..
Kwa hili wapo waliofanikiwa wachache sana ila wengi wamefail kwa kukimbilia kutoa ama kuzaa na kushindwa kumuangalia mtoto kwakuwa yupo pekee yake..
Matokeo yake idadi ya watoto wa mitaani inaongezeka...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa angalizo wanawake na waschana wote kwa ujumla Mwanaume,
mimi ikiwa mmojawapo niliyeandika post hii,tuna salio la uongo la kutosha lisilopungua kukudanganya wewe ili tu niingie panapofanya wewe ukaitwa mwanamke..
Bahati mbaya hata muambiwe vipi uelewa wenu wengi wenu ni tatizo,tena tatizo kuwa..
Ila alau hata kwa mwezi mara tatu ama mbili si vibaya tukazungumza alau kukumbushana tu kwa yale machache niliyonayo kwenu wapendwa!
Share:

Jul 7, 2014

C BAND FT12 - ADA ESTATE

Sababu iliyonileta hapa

  Baba yake na Fetty

Moja kati ya wanafunzi wangu wa kwanza kwanza kuwapa ujuzi huu ni huyu ambaye anaitwa Dullah kwa sasa amekula ajira pale Multichoice Tanzania ( DSTV ).
Kutoka ku moyo najisikia faraja sana kuona nasababisha mtu au watu fulani hasa vijana wenzangu kupiga hatua moja juu ikiwa kwenye kutengeneza maisha yake na familia yake kwa ujumla!
Nashukuru hakuna aliyenisahau ijapokuwa si wote kati ya wanafunzi wang ambao tunawasiliana mara kwa mara,najua ubize unaweza ukawa umechukua nafasi yake ama mambo ya hapa na pale.
Kwanini nimemzungumzia Dullah kwasababu hii kazi ya leo ilikuwa yake,mteja alimpigia mara kadhaa kwa siku tatu lakini muda wa Dullah ulikuwa mdogo hivyo kutokana na ushirika mzuri ndipo akaileta mezani kwangu ili tumalize tatizo la huyu mteja!
C band hii si ile iliyozoeleka na mafundi wengi ft6 ama ft8 hii ni ft12.
Nami nilienda nikijua ni ft6 kama ambavyo Dullah alidhani,hata spana ilinilazimu kurudi tena ofisini kuchukua kwa maana zile nilizobeba hazikuwa na uwezo wowote wa c kufungua hata kufunga tu.
Hapa angeenda ndugu yangu lazima angehitaji twende sote kwa maana Dish hizi zinahitaji uwezo wa ziada!
Kwanini naitwa MUSTAPHA MADISH ndipo nikadumisha umwamba wangu kisha tukachapa mwendo!
Share:

Jun 30, 2014

DSTV FAMILY PACKAGE | CHANNELS 70+ | TSH 39,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Family
FTA

KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
Dish

MICHEZO

SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 9
SuperSport 9 East

SINEMA

Movie Zone
Africa Magic Epic Movies
Africa Magic Hausa
Africa Magic Yoruba
Africa Magic Lgbo
Africa Magic East
Maisha Magic BONGO
M-Net Family
M-Net Movie Action
Africa Magic Family
 
BURUDANI

Telemundo
E!
CBS Reality
CBS Action
CBS Drama
AMC
Vox Africa
TVC E
Sony Entertainment
Sony Max

HABARI NA MAELEZO

BBC World
Al Jazeera
CNBC Africa
Bloomberg Tv
CNC World
SABC News
CCTV News

 MAKALA

National Geo Wild
DiscoveryFamily
ED
Spice Tv
National Geo

MAISHA

Fashion TV

DINI

One Gospel
TBN
Daystar
Islamic channel
EWTN
Inspration TV
Kingdom Africa
Dove Tv
Emanuel Tv
FAITH

MUZIKI

Hip Tv
Sound city
AFRO Music English

WATOTO

Nickelodeon
Disney Junior
JimJam
Mindset Learn
Boomerang

KIMATAIFA

Zee World
NDTV 24*7
RAI International
TV5 Monde Afrique
 CCTV 4
CCTV Documentary
CCTV French
CCTV Entertainment
China Movie Channel
Shanghai Dragon Tv
Hunan Tv
Jiantsu Channel
Phoenix News Ent
RTPI
TV Mundal

RADIO

Over 40 Channels

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI Bofya Hapa
KUPATA MAFUNDI WA DSTV Bofya Hapa
VIFURUSHI VYA DSTV Bofya Hapa  
KUJUA BEI NA KUNUNUA DSTV Bofya Hapa

Kwa Maelezo zaidi  Piga +255789476655

Share:

Jun 25, 2014

AZAM TV - MASAKI

 Wanapaita ushuani kule upepo unapovuma!
Masaki jijini Dar es salaam!
Azam tv tumetekeleza ile kauli mbiu ya burudani kwa wote!
 Yap!

Kazi Safi!
Hii ni moja kati ya kazi nyingi nilizopata kupitia hii blog,ubora wa kazi yangu na uaminifu ndo sababu ya kufanya kila kukicha idadi ya wadau kuongezeka ni jambo la kushukuru na zuri kwangu!
Namba yetu ile ile +255789476655

Share:

Jun 19, 2014

AZAM TV BURUDANI KWA WOTE INAPOPATIKANA

 Moja ya kazi safi kati ya nyingi!
King'amuzi kinachofanya vizuri nje na ndani ya Tanzania.
.Kwa Vipindi vya nyumbani, ligi za nyumbani na burdani kibao.
Kwa malipo ya mwezi kuanzia 15000 ama kwa wiki kuanzia 5000.
Tupo tayari kukuunganisha sasa na kwa wakati..
Unaweza kupiga no.+255789476655/659161111.
Huduma pia yaweza kukufuata ulipo!
Share:

KAMA KAWA KAMA DAWA!

Dish inavyostahili kufungwa,hapa itapita miaka mpaka kuitwa tena!

Nishafanya yangu ya kupendeza na kuacha wadau wa Azam tv wakila burudani!
+255659161111 Mustapha MaDish
Share:

Jun 18, 2014

DSTV TANZANIA IMETUPELEKA JANGWANI

...kuna mtu aliwahi kusema watu waishio mabondeni ili waweze kuhama watolewe huduma zote muhimu ikiwemo Umeme..
Leo napata jawabu hapa kwa mfano kama ingelikuwa aliyesema ndiye Meneja wa Tanesco sidhani kama angelisema hivyo..
Kama kweli umeme ungetolewa maana yake hata mimi leo nisingepata nafasi hii ya kuipeleka DSTV jangwani maana ni nyumba ya mwisho kabla ya kuufikia mto msimbazi..
Mengine muachie baba na mama!
PIGA +255789476655

Mwisho wa yote tukachapa mwendo!
Share:

Jun 13, 2014

BRAZIL YAANZA KWA KUITANDIKA CROATIA 3-1

YOTA aliyebeba matumaini ya Wabrazil wengi, Neymar amefunga mabao mawili
usiku huu katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa
ufunguzi wa fainali za kombe la dunia.
Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali na aliongeza bao
 la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati
yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia madhambi Fred.

 Kipa wa Croatia stipe Pletikosa akijaribu kuokoa shuti la neymar lakini aliambulia patupu!

Mkwaju wa penati wa Neymar kipa japo aliigusa lakini hakuweza zuia kuingia nyavuni!
Oscar alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa
kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.

 Mercelo akijifunga mwenyewe
Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa.Mambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao.

 Neymar aliyefunga bao mbili!

source:Shaffih Dauda
Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao..
Mambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.
Baadaye Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali na aliongeza bao la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia madhambi Fred.Oscar alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwaMambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao

Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao..
Mambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil  wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.
Baadaye Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali  na aliongeza bao la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia  madhambi Fred.
Oscar alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1982#sthash.ypK7U03G.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1982#sthash.pE8rt4Tk.dpuf
NYOTA aliyebeba matumaini ya Wabengi, Neymar amefunga mabao mawili usiku huu katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa ufunguzi wa fainali za kombe la dunia. 
Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao..
Mambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil  wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.
Baadaye Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali  na aliongeza bao la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia  madhambi Fred.
Oscar alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1982#sthash.pE8rt4Tk.dpuf
Share:

Jun 10, 2014

VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Estadio Beira-Rio
porto alegre

Arena Da Baixada
curitiba

Arena De Sao Paulo
sao paulo

Estadio Do Maracana
rio de janeiro

Estadio Minerao
belo horizonte

Estadio Nacional
brasilia

Arena Pantanal
cuiaba

Arena Fonte Nova
salvador

Arena Pernambuco
recife

Estadio Das Dunas
natal

Estadio Castelao
fortaleza

Arena Amazonia
manaus
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu

Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita