Sep 15, 2014

KURUDI KWA KING'AMUZI CHA CONTINENTAL


Baada ya watanzania kuona kama wamepigwa changa la macho baada ya kupotea hewani kwa matangazo ya decoder za continental na huku huduma zikiwa zipo kama hazipo na maswali yakiwa meengi majibu machache...
Hatimae sasa wamerejea..
Hakika wamerejea ingawaje si kwa kiwango kile nilichokitegemea isipokuwa angalau sasa wapo katika uso unaotazamika na kumshawishi mtu si kununua hata kuhama kwenye king'amuzi alichopo na kuhamia Continental!
Pengine maboresho yaliyopo sasa unaweza dhani kama nayabeza laa hasha wapo vizuri kwa sasa ila mi nilitegemea wangerejea kwa kishindo zaidi kwa kutoa dish ijapokuwa wanapatikana vema kwenye Dish!
CHANNELS ZILIZOPO KWENYE DECODER YA CONTINENTAL
startv
itv
eatv
capital
tbc 1
clouds tv
channel 10
star bunge tz
star movie+
star muziki
star e+
aljazeera english
ait sports
emanuel tv
hope channel africa
bbc world news africa
voa tv africa
france 24 english
africa tv2
cctv 9 documentary
dw
citizen tv
Maboresho yanaendelea...
Bofya hapa

Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Angalau sasa wanatazamika..

Anonymous said...

Do you mind if I quote a couple of your posts as long as I provide credit
and sources back to your blog? My website is in the very same area of interest as yours and my visitors would certainly benefit from a lot of the information you
present here. Please let me know if this alright with you.
Many thanks!

Also visit my page - sparta

Anonymous said...

Bado ni bure au wanafikiria kuwa na malipo ya kila mwezi?