Call / WhatsApp +255755949413

Dec 31, 2013

DSTV PREMIUM PACKAGE | CHANNELS 120+ | TSH 169,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Premium  FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 3 HD SuperSport 1 SuperSport...
Share:

TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WADAU!!!

Mwaka ndo unaishia hivyo leo ikiwa Tarehe 31/12/2013 dah! yaani hata siamini wallah!! La msingi nashukuru Mungu kwa kunijalia pumzi mimi,timu yangu nawe mdau wetu kama u bu kheri wa afya kama ilivyo sisi!! Wapo wengi waliotamani kufika leo ila kwa mapenzi yake mungu hatunao...
Share:

Dec 27, 2013

POPOTE ULIPO TUPO NA WEWE

Mwaka tunaumaliza vema na tukisisitiza ya kuwa popote ulipo tupo nawe,king'amuzi chako kinakuweka karibu nasi huku ukiwa unaizunguka dunia ukiwa na tv yako! USIHOFU ULIPO NI WEWE TU KUWA TAYARI KUPOKEA HUDUMA...
Share:

Dec 24, 2013

BONDENI HOTEL TUKIFUNGA AZAM TV

+255789476655 AU +255627985436 HUDUMA HII INAKUFIKIA  Kuelekea funga mwaka na Azam tv ikiwa inaendelea kufanya vizuri,nasi tukiendelea kutekeleza wajibu wetu kama kawa kama dawa! Ndani ya Bondeni Hotel ya Magomeni Mapipa Morogoro rd. Hapa Azam tv nayo ilionekana...
Share:

Dec 21, 2013

AZAM TV MTEJA WA KWANZA KUFUNGA MKULANGA!

 Njiani kuelekea .......................!!! Kuelekea funga mwaka kwetu ni mbio tu!! Leo kazi ya kwanza tumeamkia mkoa Pwani wanapaita Mkulanga,hii mimi ni mara ya pili narejea kufunga Dish ila safari hii Azam tv ikiwa ndo imenirejesha nikiwa na mtaalamu mwenyewe...
Share:

Dec 20, 2013

BAADHI YA CARD ZA ALJAZEERA ZIMEFAIL!

Kuna baadhi ya wateja wa Aljazeera sports wanalia sasa kama si kuhaha na kudhani pengine ndo imeshakula kwao maana wanakosa jibu la uhakika kuhusu card zao! Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya card zimefail na tatizo ni la kwao wenyewe na kwa mujibu wao wanalifanyia kazi! Je wewe ni miongoni mwao ama!!...
Share:

Dec 15, 2013

LOCAL CHANNEL ZINAZOPATIKANA DSTV

Awali ilikuwa TBC1 pekee,ambapo baadae ikaongezeka na STAR TV na hivi karibuni CHANNEL 10 nayo imeongeza idadi na kuwa channel 3 za Tanzania zinazopatikana DStv ...
Share:

Dec 13, 2013

JE NI NCHI NGAPI AMBAZO UNAWEZA KUONA AZAM TV!?

 Niliwahi kupokea simu siku za hivi karibuni kutoka Nairobi,swali likiwa je kama atanunua Azam tv inaweza ikakamata! Jibu la swali hilo ama linalofanana na hilo ni hili kwenye hii picha hapa chini!  Angalia kwa umakini nchi ambazo ukifunga Azam tv inakamata kama...
Share:

Dec 12, 2013

NATAFUTA MAFUNDI WAZURI WA KUFUNGA SATELLITE DISH ANTENNA

Hili ni swali ambalo nahisi hata wewe unajiuliza katika walio wengi baada ya kushindwa kujua wapi mtapata mafundi wazoefu wa kufunga dish antenna aina zote! Swali lako limepata jibu,tena jibu lililo sahihi kabisa! Hapa ndipo mahali pake! Tunafunga Dish Antenna aina zote kama...
Share:

Dec 10, 2013

JE NI MPENZI WA VODACOM PREMIER LEAGUE....YANI LIGI KUU TANZANIA BARA?

Azam Tv hawakusau wale wapenzi wa mpira wa ligi ya nyumbani. Mechi za ligi kuu ya Tanzania bara zita rushwa hewani kupitia chaneli za azam 1 na azam 2 live bila chenga! usikubali kubaki nyuma jipatie king'amuzi chako ili ufaidi! ...
Share:

Dec 9, 2013

MAFUNDI WA AZAM TV KAZINI

 King'amuzi kipya ila kimeteka wadau wengi kutokana na ubora wake achilia mbali urahisi wa kununua! Tunasahau vile ving'amuzi vinavyotumia Antenna vinavyolalamikiwa kila kukicha kwa kukata kata picha! Azam tv ukiacha sifa ya kutumia Dish,Decoder zetu pia ni HD picha...
Share:

Dec 6, 2013

AZAM TV INAPOPATIKANA

Leo tarehe 6/12/2013 tumeanza rasmi kuuza Azam tv Tanzania nzima. Pengine unajiuliza bei gani? Ina channel ngapi? Channel zipi? Wapi utaipata azam tv? Bei ni Tsh 135,000/= Full Installation ( Bei ya zamani hii ) KUJUA BEI MPYA YA KUNUNUA KING'AMUZI Bofya Hapa Nikiwa...
Share:

Dec 5, 2013

MUSTAPHA MADISH CREW TUKIFANYA YETU

Matakwa ya mteja ndo wajibu wetu ukizingatia mteja kwetu mfalme na ndiye anayetufanya sisi tuendelee kuwepo mtandaoni na maisha kuendelea!  C babd ft6  Mwanaume kazini  Mustapha MaDish  Angalau sura inaonekana  Herman Akifanya...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413