
TV INSTALLATION
Mapendekezo ni ya mteja kwa maana mmiliki wa hotel/sehemu yeyote husika
kwamba tv zikae ukutani ama mezani,kazi yetu ni kutoa ushauri kwa jinsi mazingira yalivyo,je muonekano mzuri ni upi tv kukaa mezani ama ukutani? ingawaje mara nyingi tv kukaa ukutani...