Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
- Kununua DStv bofya hapa
- Kupata idadi ya channel za vifurushi vyote bofya hapa
- Kupata mafundi wa DStv bofya hapa
- Kujua namna ya kulipia kwenye simu bofya hapa
- Kupata msaada zaidi bofya hapa
- Jinsi ya kuhama kifurushi bofya hapa
Kwa Maelezo zaidi +255789476655
Whatsapp +255784378129
38 Unasemaje..??:
Kuna haja ya kupunguza tena bei za vifurushi Hali ngum mtaani
Vibanda umiza vimeanza kufungwa
Hii iko vizuri,Ila ishuke iendane na kipato cha mtanzania was kawaida.
Ukilipia kifurushi cha premium mwaka mmoja ni sawa nakujenga nyumba ya vyuumba vitatu standard kuweni makini pesa ya sasa ngumu tunapenda lakini kwa bei hizo wacha tukomae na zuku
namba za simu tunapiga mpaka tunakoma hampokei hata sijui kwa nini mimi nilitaka kuuliza kifurushi cha shilingi elfu kumi na tisa nitaona kombe la dunia
Je kuangalia world cup inabidi ninunue dstv ya sh ngapi ? Ya chino kabis!
Waongeze maudhui kama ligi kuu ya Tanzania. Dstv itanoga sana na tutasahau ving'amuzi vingine kabisa
bei ya dstv sh ngapi?
bei ya dstv sh ngapi?
bei ya ving'amuzi zinatofautiana
1. Kunaking'amuzi kinaitwa HD5 au zapa set nzima ni sh. 79000 kumjumlisha na ufundi wao wa kuhaminika ni sh 20000
2. King'amuzi kinachoitwa explorer set nzima ni sh 321000 pamoja na ufundi wetu ya kuhaminika ni sh 30000. Karibu kwa maswali zaidi
Dstv ina ving'amuzi 2
1. HD5 au zapa ambayo bei yake ni sh. 79000 na ufundi wetu wa kuaminika ni sh 20000 tuu
2. Explorer ni king'amuzi kingine ambacho full set ni sh. 321000 ufundi ni sh 30000. Karibu
Dstv ina ving'amuzi 2
1. HD5 au zapa ambayo bei yake ni sh. 79000 na ufundi wetu wa kuaminika ni sh 20000 tuu
2. Explorer ni king'amuzi kingine ambacho full set ni sh. 321000 ufundi ni sh 30000. Karibu
Tunaomba muone namna ya kuonesha ligi kuu ya bongo, na klabu bingwa Afrika kuanzia mwanzo. Kuna hatua zile za mwanzo hatuzioni kwenye klabu bingwa Afrika.
Tunaomba muone uwezekano wa kuonesha ligi ya bongo, pia klabu bingwa afrika muanze kutuones
Hjgg
Bei yenu iko juu sana punguzeni tunapenda mpira ila so kwa bei hiyo
Chanel gani ina yo onyesha lig ya England nataka ikua hy chanel
Jamani kitaaa sio,,Dstv tafadhali kifurushi cha 109000/= punguzeni jamani.
Jamani kitaaa sio,,Dstv tafadhali kifurushi cha 109000/= punguzeni jamani.
Mna huduma nzuri dstv
Nimeipendasana data
Tatizo n nn mbona kifurush nmenunua lakin all channel hazioneah bado
Kifurushi cha 69000/= kina ssp ipi na ipi na je kitaonyesha
epl ?
nawakubali sana dst mungu awatangulie
Kuna haja ya kuwa vifurushi vya muda mfupi, kama wiki moja hivi ili kukidhi mahitaji ya wateja kwa muda mfupi, kwa mfano, kama mteja anatarajia kusafiri kwa muda mrefu zaidicya mwezi mmoja lakini anahitaji huduma ya dstv kabla hajasafiri
Tunaomba kujua local channel zinarudi lini maana tunalipia bila ya kupata hixo channel imekuwa kero kwetu
Tunapenda huduma zenu ila mpo Juu sana kama ndege ya magu
Naomba kufunguliwa account no nazani mmenifungia
Naomba kujua tofauti ya ving'amuzi vyenu yaani HD5 na explorer
Kujana usilete matatizo yako hapa... Hiyo sio ugonjwa kama huwezi kumiliki dstv waachie wenzio. #dstv
😁😁😁
Huduma nzur bt haiendan na uchumi wa mtanzania
Hey There. I found your blog the usage of msn. That is
an extremely neatly written article. I'll make sure to bookmark it
and return to learn extra of youjr helpful information. Thanks for the post.
I will certainly comeback.
Mimi ni mteja mpya naomba unisaidie namna ya kufanya malipo, na kujua vifurushi vyenu..
Napataje kadi ya dstv maana ya kwangu imepotea? Nijibu kuipitia mtalemwarichard@gmail.com
Sasa mbona icho kifurushi cha 19000 akijashuka maana tulikuwa tunalipia bei iyo iyo
Kifurushi cha 19000 akijashuka toka zamani tunalipia iyo iyo alafu mnasema mmeshusha
DStv ni bomba Sawa lakini bei zake ni changamoto kwa watanzania wengi, kama wanataka kupata ukweli wajaribu kuangalia idadi ya walio na ving'amuzi halafu waangalie ni wangap wanalipia mara zote.
Kiufupi vifurushi vishuke bei tena.
Mambo magumu
Shusheni bei kidogo
Post a Comment