Call / WhatsApp +255755949413

Aug 10, 2015

STARTIMES INDIAN PACKAGE | KIFURUSHI CHA KIHINDI | TSH 18000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:- Kuna zaidi ya channel 8! BOLLYWOOD HD STAR GOLD STAR PLUS ZOOM TIMES NOW ST PLUS ZEE CINEMA ZEE TAMIL MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +25578947665...
Share:

Aug 9, 2015

EPUKA USUMBUFU | ILI USIJUTE KIFURUSHI ULICHOLIPIA

KUTOKA KWANGU KUJA KWENU: Imezoeleka hii tabia hasa kwa wateja wa DStv na Azam tv wale ambao wenzangu na mie yaani wachumi sanaa! Ambao sijajua vizuri kuwa wanajua sana thamani ya pesa zao ama ni nini!? Ila hii nadhani uswahili pia unahusika katika hili! WATEJA WA AZAM TV:  ...
Share:

Aug 2, 2015

STARTIMES CHANNELS | KIFURUSHI CHA SMART TSH 21,000

Malipo:Kwa mwezi ni Tsh 21,000 Kwa wiki ni Tsh 8,000 Kwa siku ni Tsh 2,100 Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Smart:- Kuna zaidi ya channel 65! Filamu na Tamthilia ST Zone ST Sino Drama AMC Series AMC Movies ST Novela E1 ST Bollywood Africa Z Cinema FOX Life Mambo...
Share:

Aug 1, 2015

MAWAKALA WA AZAM TV MIKOANI

AZAM TV ARUSHA: BENSON&COMPANY Sokoine rd 0272548447 LEO INVESTMENT Sokoine rd 0754278787 GADGE TRONIX Block 1,Seth Benjamin rd 0712007170 AZAM TV BAGAMOYO: AZAM TV BUKOBA: MEHTA&COMPANY Bukoba mjini,Market/Sokoni str. 0764818181 AZAM TV DODOMA: F&N TECHNOLOGIES...
Share:

TUMERAHISISHA | THAMINI UWEPO WETU | ZINGATIA MUDA

TUMERAHISISHA..                          Upatikanaji wa taarifa na huduma kwa ujumla kuhusu ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania na nje ya Tanzania,baadhi ya ving'amuzi ni;-          ...
Share:

Jul 22, 2015

HOTEL TV SYSTEM INSTALLATION

TV INSTALLATION Mapendekezo ni ya mteja kwa maana mmiliki wa hotel/sehemu yeyote husika  kwamba tv zikae ukutani ama mezani,kazi yetu ni kutoa ushauri kwa jinsi mazingira yalivyo,je muonekano mzuri ni upi tv kukaa mezani ama ukutani? ingawaje mara nyingi tv kukaa ukutani...
Share:

Jul 21, 2015

MBUYU TWITE | AZAM TV & DSTV

Baraka za mikono salama,kazi nzuri kwa wengine imefanya nifike kwa huyu jamaa tegemezi la timu ya young African Mbuyu Twite,tumefunga DSTV na AZAM TV pia! +2557894766...
Share:

Jul 18, 2015

UPO FACEBOOK !!!???

Je blog yetu imekusaidia kwa kiasi fulani,kwa kukupatia maelezo kwa wakati na kwa kina kuhusu ving'amuzi bila kuchagua ama je blog yetu imekusaidia kukuwezesha kupata huduma ya kununua na kufungiwa king'amuzi kwa wakati? Ama imekusaidia kupata mafundi wa kukufungia king'amuzi...
Share:

Jul 15, 2015

KING'AMUZI KITAKACHOONYESHA KOMBE LA KAGAME 2015

Ni kiu ya wapenzi wengi na maswali yakiwa yanazidi kila kukicha ya kuwa ni king'amuzi gani na kifurushi gani kitaonyesha CECAFA 2015 kombe la Kagame. Wala nisikupotezee muda jibu ni DStv. Kama utalipia kifurushi cha Compact Plus utaweza kuona hizi mechi kwa raha bila kukosa...
Share:

Jul 1, 2015

DSTV IMESHUKA TSH 79,000= BILA UFUNDI!

Kwa wateja wapya hii inawahusu sana,muda ambao mamlaka ya mapato tanzania imepandisha bei ya kodi kwenye $,jambo lililopelekea pia kupanda kwa gharama za malipo ya mwezi ya vifushi vya ving'amuzi vyote. Kwa kulizingatia hilo Multichoice Tanzania imeonelea ipunguze gharama...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413