Call / WhatsApp +255755949413

Feb 28, 2014

HATIMAE ITV NA EATV KWENYE AZAM TV

Leo ilikuwa ahadi kwamba kuna kitu kipya wadau wa azam tv wakae tayari kukipokea na watafurahia na ndicho kilichotokea!! Baada ya ngoja ya muda mrefu yametimia! Mengine yatafuata kama tulivyowaahidi!...
Share:

BEI ZA VING'AMUZI VINAVYOFANYA VIZURI!

Kiukweli king'amuzi chenye wateja wengi kwa hapa kwetu Tanzania ni DSTV ukiachilia ukongwe walionao pia vipindi vyao ndo sababu kuu ya kuuza na kama ulikuwa hujui matokeo ya wadau yanaonyesha mpira ndio unauza sana!! Bei ya DSTV kwa sasa ni 149000/= King'amuzi ambacho...
Share:

Feb 27, 2014

LOCAL CHANNEL ZA BURE

 Kiukweli muda kidogo sijafanya kazi za local channel,si mpya wala ya kuirudi ya zamani kuwa mpya kutokana na ukweli kwamba ving'amuzi vimekuwa vingi na wadau wengi nawauzia vya malipo ya mwezi tu! Ila leo imenirejesha kuleee ambapo ilikuwa kwa siku nafunga dish mbili...
Share:

Jan 30, 2014

AZAM TV UNAWEZA KUONA TV ZAIDI YA 1!!

Swali ambalo wengi wamekuwa wakiniuliza lakini jibu huwa nawaambia unaweza kuona kwa tv moja tu na ndivyo ilivyotengenezwa ila kwakuwa uwanja ni wetu hakuna linaloshindikana!! Yap unaweza kutumia Decoder ya Azam tv moja ukaona tv zaidi ya 10 na zote zikiwa saaafi isipokuwa...
Share:

Jan 28, 2014

DSTV EXTRA VIEW

 DSTV EXTRA VIEW bado inaendelea kufanya vizuri sana!! Labda kwa wale wasiojua huduma ya DSTV EXTRA VIEW ni kwamba unakuwa na A/C moja ila Decoder mbili ambapo unaweza kutumia kwa tv mbili kila mtu na channel yake na malipo ya mwezi inazidi 16000 kwa Package yeyote utakayoitaka!  Hapa...
Share:

Jan 26, 2014

DSTV COMPACT PLUS PACKAGE | CHANNELS 90+ | TSH 109,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Compact Plus FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 3 SuperSport 5 SuperSport...
Share:

Jan 24, 2014

LINAPOPITA LA KUCHEKESHA.......!!

Lazima kucheka ili siku ziongezeke!! Ila mengine kiukweli yanamaudhi kupitiliza,tukiacha kibinafsi pia kikazi maana kazi yangu inahusisha watu wa aina tofauti kwa kipato,jinsia na hata uwezo wa uelewa kama si kufikiri! Nianze na issue ya wale wateja...
Share:

Jan 21, 2014

DSTV TSH 149000/=

Offer inaendelea!!! Full Installation- Tsh 149000/= Unapata Dish,Decoder,Cable na Kufungiwa! Baada ya hapo unachagua Package uipendayo kati ya zifuatazo:- ACCESS-Tsh 16500/= FAMILY-Tsh 33,000/= COMPACT-Tsh 53000/= COMPACT PLUS-Tsh 85,000/= PREMIUM-Tsh 135,000/= BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa CONTACT Office:+255789476655 Mobile:+255659161111 Yote...
Share:

OFFICE ZA TUCTA TUMEMALIZA KUFUNGA DSTV NA FLAT SCREEN!

Mwendo ni ule ule kazi nzuri ndo sababu ya kutufanya tunapata tenda zaidi kwa maana wateja zetu ndio mabango ya matangazo ya kazi zetu! Office za TUCTA pale mnazi mmoja,siku ya kwanza nilienda kukagua kazi Hapa nishakagua kazi siku ya kwanza. Siku ya pili nikaingia...
Share:

Jan 18, 2014

OFFICE ZA TUCTA CREW IMEKAMILIKA HAPA!

Wanamwita Dume la Mamba! Elias hapa a.k.a Driller! Baba Fetty tena! Dume la Pelege huyu wakujiita Chimpo!  Mustapha MaDish!  Wazee wa Kazi! Hapa kazi tu! ...... na Baso! Cable master,Mzee wa Bomba,Master...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413