Call / WhatsApp +255755949413

Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI

Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko.. Mafanikio yanahitaji:- Kupenda unachofanya Kukijua...
Share:

Dec 2, 2016

TV E TANZANIA | KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Siku zote ili ufanye vizuri ni lazima upate mpinzani na ndicho kinachotokea hapa.. Historia inaonyesha Clouds Fm ilifanikiwa kuzipoteza radio ambazo alizikuta katika swala la burudani na kupelekea kuunyanyua kwa kiasi kikubwa music wa Bongo Flavour,mpaka ikafikia hatua...
Share:

Dec 1, 2016

KING'AMUZI NI NINI..??

Swali ambalo pengine hata wewe unajiuliza! King'amuzi ni nini!? - King;amuzi ni kifaa kinachotumika kupokea matangazo yanayorushwa kwa mfumo wa Digital ili yaonekane na kusikika hata kwenye tv za Analogue Zingatia:Kuna king'amuzi kinachotumia Antenna na King'amuzi kinachotumia...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413