Call / WhatsApp +255755949413

Jan 18, 2014

OFFICE ZA TUCTA CREW IMEKAMILIKA HAPA!

Wanamwita Dume la Mamba! Elias hapa a.k.a Driller! Baba Fetty tena! Dume la Pelege huyu wakujiita Chimpo!  Mustapha MaDish!  Wazee wa Kazi! Hapa kazi tu! ...... na Baso! Cable master,Mzee wa Bomba,Master...
Share:

Jan 8, 2014

BEI YA AZAM TV BURUDANI KWA WOTE

Hivi karibuni nilipokea simu ilinisikitisha sana kuhusu bei wanazouziwa watu hasa mikoani king'amuzi cha Azam tv na cha kushangaza zaidi hata hapa Dar kuna baadhi ya wakala wanauza bei juu tofauti na utaratibu uliowekwa,nilichogundua ni kwamba wengi wameingia kwenye hii...
Share:

Jan 1, 2014

TAREHE 1/1/2014 KIBAHA KONGOWE

Leo ni siku ya mapumziko baada ya kuzitafuta mwaka mzima! Kwakuwa madish ndio yaliyoleta muunganiko wa issue zangu nyingi hivyo kupumzika bila kuzungumzia ama kugusa kadish hata kamoja itakuwa uongo maana nnachokikubali zaidi kwasasa ni madish na ndo sababu ya kufanya nifanye...
Share:

Dec 31, 2013

DSTV PREMIUM PACKAGE | CHANNELS 120+ | TSH 169,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Premium  FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 3 HD SuperSport 1 SuperSport...
Share:

TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WADAU!!!

Mwaka ndo unaishia hivyo leo ikiwa Tarehe 31/12/2013 dah! yaani hata siamini wallah!! La msingi nashukuru Mungu kwa kunijalia pumzi mimi,timu yangu nawe mdau wetu kama u bu kheri wa afya kama ilivyo sisi!! Wapo wengi waliotamani kufika leo ila kwa mapenzi yake mungu hatunao...
Share:

Dec 27, 2013

POPOTE ULIPO TUPO NA WEWE

Mwaka tunaumaliza vema na tukisisitiza ya kuwa popote ulipo tupo nawe,king'amuzi chako kinakuweka karibu nasi huku ukiwa unaizunguka dunia ukiwa na tv yako! USIHOFU ULIPO NI WEWE TU KUWA TAYARI KUPOKEA HUDUMA...
Share:

Dec 24, 2013

BONDENI HOTEL TUKIFUNGA AZAM TV

+255789476655 AU +255627985436 HUDUMA HII INAKUFIKIA  Kuelekea funga mwaka na Azam tv ikiwa inaendelea kufanya vizuri,nasi tukiendelea kutekeleza wajibu wetu kama kawa kama dawa! Ndani ya Bondeni Hotel ya Magomeni Mapipa Morogoro rd. Hapa Azam tv nayo ilionekana...
Share:

Dec 21, 2013

AZAM TV MTEJA WA KWANZA KUFUNGA MKULANGA!

 Njiani kuelekea .......................!!! Kuelekea funga mwaka kwetu ni mbio tu!! Leo kazi ya kwanza tumeamkia mkoa Pwani wanapaita Mkulanga,hii mimi ni mara ya pili narejea kufunga Dish ila safari hii Azam tv ikiwa ndo imenirejesha nikiwa na mtaalamu mwenyewe...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413