Nilichogundua karibu ving'amuzi vyote vina mapungufu na hii inatokana na kujisahau,wafanyakazi kufanyakazi bila juhudi binafsi wanafanya ile bora liende mwisho wa mwezi tukinge,pia makampuni yenyewe husika hayajajipanga katika baadhi ya mambo ili kukabiliana na ushindani...
Jun 18, 2015
Jun 16, 2015
BEI MPYA YA MALIPO YA MWEZI AZAM TV

Burudani kwa wote..
Kwa mujibu wa Azam tv bei za vifurushi zimepanda kutokana na ungezeko la kodi,
hivyo kile kifurushi cha tsh 10,000/= kimekuwa tsh 12,000/=
kifurushi cha 15,000/= kimekuwa tsh 20,000/=
na kifurushi cha 20,000/= kimekuwa tsh 30,000/=
Pia siku za usoni...
Jun 10, 2015
VIFURUSHI VYA TING | TING PACKAGES

Hivi ndivyo vifurushi vilivyopo na bei zake kwenye king'amuzi cha Ting kwenye Antenna na kwenye Dish!
1.REGULAR PACKAGE
Inachannel 12+ safi
Malipo ni Tsh 11,000/=
Kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!
Package hii ni kwenye Antenna tu!
2.CLASSIC PACKAGE
Ina...
Jun 9, 2015
KUNUNUA KING'AMUZI CHA ZUKU TV TANZANIA

Remote ya Zuku
Ili kutoa fulsa ya kila mtu aweze kununua kinga'amuzi cha Zuku Tv imeonelea kushusha bei,ambapo sasa ili kununua zuku itakulazimu kulipia Tsh 88,000 tu,badala ya Tsh 95,000/= ila hii inakuwa bila ufundi.
Ili ufungiwe itakulazimu kulipia Tsh 30,000 tu,pesa...
May 18, 2015
KWANINI TUMELAZIMIKA KUIGIA DIGITAL NA KUACHANA NA ANALOGUE?

Mabadiliko katika mfumo wa utangazaji kutoka mfumo wa analojia kwenda katika mfumo wa dijitali ni utaratibu ambao unaendelea ulimwenguni kote. Mabadiliko haya yanatokana na makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa lenye dhamana ya masuala ya mawasiliano...
May 11, 2015
VING'AMUZI VINAVYOCHUANA | AZAM TV & DSTV | KIPI NI ZAIDI!?
Mustapha MaDish3:45 AMazam media, Azam tv, azam tv channels, Dstv, DStv Africa, DStv Service
1 comment

Dstv ni wakongwe hii haina ubishi,ila ukongwe wa dstv haina maana kuwa hakuna king'amuzi ambacho kinaweza kuja na kufanya vizuri zaidi yake,hii inatokana na kwanza kujua mahitaji ya watazamaji kwa ujumla na kuwatimizia kile wanachokihitaji,unafuu wa bei ukizingatiwa.
Azam...
May 1, 2015
STAR TV | AZAM TV | PAMOJA SASA

Awali ilikuwa ili kupata Star tv kwenye king'amuzi cha Azam ilikuwa ni fundi na ufundi wetu tu,kwani ilikuwa tunafunga satellite mbili kwa wakati mmoja ila baadae wenye mali yao hapo Satellite ya Amos 5 wakafanya ya kufanya.
Baada ya vuta nikuvute hatimae sasa Star tv imeungana...
Apr 27, 2015
MVUA NA VING'AMUZI VYETU

Kwa kawaida mvua inapokuwa inanyesha watu wengi nami nikiwa mmojawapo huwa mapenzi yapo kukaa sehemu tulivu kama panaruhusu unaangalia tv,iwe ni movie ama vyovyote vile ijapokuwa mimi mapenzi yangu kuangalia movie...
Ikiwa una king'amuzi chako na unataka kuangalia huku...
Apr 14, 2015
VING'AMUZI VYA ANTENNA

EASY TV
King'amuzi cha kwanza cha antenna ambacho mpaka sasa kipo ila kiukweli kama wanasua sua na kujikuta kila kukicha wanapoteza wateja badala ya kuongeza wateja.
Sababu ya king'amuzi hiki kupoteza wateja kila kukicha ni kutokana kukosa kuwapa uhakika wateja wao na wale...
Apr 9, 2015
BEI MPYA ZA MALIPO YA MWEZI DSTV
Mustapha MaDish5:31 AMDstv, DStv Africa, DStv Channels, dstv mobile, dstv offer, DStv Packages, DStv self service
9 comments
.jpg)
Ikiwa wadau wapo katika kulala na kuomba angalau gharama za malipo ya mwezi zipungua,hali imekuwa tofauti kutokana na gharama za uendeshaji ambapo imepelekea kupanda kwa bei za malipo ya mwezi kwa vifushi vyote vya Dstv kama ifuatavyo:-
BOMBA PACKAGE
Awali ilkuwa tsh...