
NB: Bei zimebadilika, ili kujua bei mpya na offer zilizopo Whatsapp +255658046655Moja ya king'amuzi kilichokubalika kwa muda mfupi sana na kuzoa wateja wengi ndani na nje ya Tanzania.. Hiki ndicho king'amuzi pekee mpinzani mkubwa wa DStv.. Azam tv wamejua ni nini wadau...