Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:-
Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo kwa muda wote toka kiwe hewani. Lipia king'amuzi
chako cha continental kuendelea kupata channels za continental ambapo channel za nyumbani zote ni bure hata usipolipia.
Vifurushi, Siku 7 @3,999/= , Siku 15 @6,999/= , Siku 31 @11,999/= .
Continental Decoder The quality to talk about
- Kujua channels Zilizopo Bofya Hapa
- Kuepuka Dish yako kupata kutu
- Kuondoa ujumbe wa NO SIGNAL