Dec 1, 2016

Swali ambalo pengine hata wewe unajiuliza!
King'amuzi ni nini!?
- King;amuzi ni kifaa kinachotumika kupokea matangazo yanayorushwa kwa mfumo wa Digital ili yaonekane na kusikika hata kwenye tv za Analogue

Zingatia:Kuna king'amuzi kinachotumia Antenna na King'amuzi kinachotumia Dish.
*Kuna aina mbili za Ving'amuzi
> King'amuzi cha kulipia ( Decoder )
> King'amuzi cha bure ( Receiver )
  1- King'amuzi cha kulipia ni vile ving'amuzi ambavyo ili uweze kuona channel ni lazima ufanye malizo kwa lugha nyepesi ni vile ving'amuzi vyote ambavyo vinamilikiwa na kampuni maalum,mara nyingi hutumia smart card na ikiwa havina smart card vina software maalum inayopelekea channel kuwa na ulinzi maalum kwa kutomruhusu mtu kutumia bila malipo vinginevyo upite uchakachuaji!
Mfano wa Ving'amuzi vya kulipia
> Azam tv
> DStv
> Continental
> StarTimes
> Zuku tv

2 - King'amuzi cha bure ni vile  ambavyo unaweza ukaona channel bila kufanya malipo ya mwezi ( FTA )!
King'amuzi hiki kinapokea zile channel za bure tu kwakuwa kwa upande wa Satellite kuna channel za bure nyingi sana ni namna utakavyopata size ya dish na Satellite husika!

Facebook@MustaphaMaDish
Instagram@MustaphaMaDish
Cell:+255789476655

7:35 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search