
Swali ambalo wengi wamekuwa wakiniuliza lakini jibu huwa nawaambia unaweza kuona kwa tv moja tu na ndivyo ilivyotengenezwa ila kwakuwa uwanja ni wetu hakuna linaloshindikana!!
Yap unaweza kutumia Decoder ya Azam tv moja ukaona tv zaidi ya 10 na zote zikiwa saaafi isipokuwa...