Call / WhatsApp +255755949413

Oct 5, 2014

KIFURUSHI CHA ZUKU CLASSIC | ZUKU CLASSIC PACKAGE | TSH 18,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha zuku classic:- Kuna jumla ya channel 69 tv Channel 55 radio Zuku Zone Guest Channel Citizen KTN NTV K24 Kiss (KE) EBRU QTV Kass tv UBC 3Stone tv NBS Uganda Channel 10 TBC1 Clouds tv WBS ITV MBC tv Njata tv Wholesome tv Zuku Entertainment EATV Zuku...
Share:

Oct 3, 2014

BEIN SPORTS KWA TANZANIA

Awali kulikuwa na Abudhab baadae swala la kabumbu likahamia kwa Aljazeera,ambapo sasa ni nafasi ya Bein Sports mfumo wa ulipaji ukiwa ni ule ule na Decoder zitumikazo ni zile zile tofauti yake ni card tu! Tanzania ni nchi mojawapo kati ya nchi kadhaa walizokuwa wanaangalia...
Share:

Oct 1, 2014

DSTV BOMBA PACKAGE | CHANNELS 65+ | TSH 19,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Bomba FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SINEMA Movie Zone Africa Magic...
Share:

DSTV TANZANIA YATOA OFFER TSH 99000/=

      Kwa wateja wapya hii ni habari njema kwako,ambapo sasa unaweza kuunganishwa kwa tsh 99000 tu! Hii inaanza leo tarehe 1/10/2014 mpaka kuisha kwa strock ya offer! Kukurahisishia unaweza ukalipia gharama ya usafiri kutokana na umbali uliopo...
Share:

KIFURUSHI CHA ZUKU POA | ZUKU POA PACKAGE | TSH 13,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha zuku poa:- Kuna jumla ya channel 53 Zuku Zone Guest Channel Citizen KTN NTV K24 Kiss (KE) EBRU QTV Kass tv UBC 3Stone tv NBS Uganda Channel 10 TBC1 Clouds tv WBS ITV MBC tv Njata tv Wholesome tv Zuku Entertainment EATV Zuku Max Zuku...
Share:

Sep 15, 2014

DECODER YA CONTINENTAL

Niwe mkweli kwakuwa mimi napenda kwanza muonekano mzuri wa picha hivyo inapozungumziwa HD iwe HD kweli na kama hata isiwe HD lakini muonekano wa picha uwe mzuri, king'amuzi hichi ni moja kati ya ving'amuzi vyenye muonekano wa picha mzuri sana kwa zile channel zote zinazomilikiwa...
Share:

Sep 9, 2014

HII NDIO NYUMBA YA VING'AMUZI

Mwaka 2014 ndio huu unaelekea ukingoni ambapo mwakani mwaka 2015 inatupasa nchi nzima tuwe tumeshahamia Digital huku tukiwa tumeondokana kabisa na Analogue! Ijapokuwa kuigia Digital kulikuwa na misemo mingi,wapo waliunga mkono ambapo idadi kubwa walilalama huku kila mtu akiwa...
Share:

Aug 31, 2014

LINAPOKUJA SWALA LA MVUA!

Pichani ni dish ya Azam tv huku mvua ikiwa inachapa vilivyo... maana yake ni kwamba ndani hapo picha imepotea... Kinachotokea kwa Azam tv hata DSTV kinatokea.. Linapokuja swala la mvua Dish ndogo huwa zinaelemewa... Hivyo kinachotakiwa ni uvumilivu wa muda mchache na...
Share:

ZUKU SMART PLUS PACKAGE | TSH 13,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha zuku Smart Plus:- Kuna jumla ya channel 40 tv Channel 18 radio Channel zilizopo punde ntawajuza....!!  Msaada zaidi +2557894766...
Share:

Aug 1, 2014

BEI MPYA YA AZAM TV

Kutokana na sababu za kiuendeshaji imelazimika yatokee mabadiliko katika kuuza king'amuzi cha Azam tv. Bei mpya ya Azam tv toka leo Tarehe 1/08/2014 ni Tsh 165000/= Inajumuisha vifaa na Ufundi. Malipo ya mwezi ni ile ile Tsh 12500/= Ukilipa Tsh 177500/= unapata kufungiwa...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413