Awali kulikuwa na Abudhab baadae swala la kabumbu likahamia kwa Aljazeera,ambapo sasa ni nafasi ya Bein Sports mfumo wa ulipaji ukiwa ni ule ule na Decoder zitumikazo ni zile zile tofauti yake ni card tu!
Tanzania ni nchi mojawapo kati ya nchi kadhaa walizokuwa wanaangalia kandanda kupitia Decoder hizi!
Nimepokea simu nyingi sana kulizwa kuhusu swala la upatikanaji wa Bein Sports kwa Tanzania na ni kwa nini haipatikani kwa sasa na ni kwanini walihama toka nilesat kwenda badr na mengineyo yanayohusiana na Bein Sports...
Kwanini watanzania wanahaha kuitafuta Signal ya Bein Sports..??
..kutokana na maoni ya wengi ni kwamba..
Inaonyesha mpira live..
Haina malipo ya mwezi,ina ya mwaka na ni nafuu sana..
Hizo ndio sababu kuu mbili za kwanini Bein Sports inahitajika kwa udi na uvumba!
Watanzania lawama zao zote wanawatupia DStv kuhusu kupotea kwa signal ya Bein Sports kwa Tanzania..
AMBACHO LABDA HUKIJUI AMA 7BU KILA MTU ANAVUTIA KWAKE...
Kibiashara hakuna ambaye angependa kuona anapata hasara...
Na kama kuna kanuni za kibiashara lazima zifuatwe ili kila kitu kiende kwenye mstari..
Bein Sports huku hapaswi kuwepo..
mwenyewe wa huku ni DStv...
Lawama ni nyingi kwamba DStv gharama sana malipo ya mwezi..
Sababu kukawa na packages kwakuwa imeonekana watu wanauwezo tofauti wa kipato..
Sio lazima ulipie Premium 142000*
IJAPOKUWA BAADHI YA MIKOA INAPATIKANA HAPA TANZANIA..
Lakini sio kitu chenye uhakika tena kwasababu haitakiwi kabisa huku kwetu..
KAMA WEWE NI MPENZI WA MPIRA..
Piga +255789476655 uunganishwe na DStv kwa tsh 99000/=
Pia unaweza ukalipia package mpya inayoitwa Bomba kwa tsh 17000/=
Yenye channels za Sports kama Super Sport Select 1 na 2 na nyenginezo zaidi ya 65!