
Siku zote tunasisitiza huduma bora bila kubagua uwezo wa wadau wetu ama sehemu uliyokuwepo ingawaje lawama zilikuwa nyingi kwa kuwapa ugumu wadau wetu ambao mlikuwa mnatuhitaji mliopo nje ya Dar es salaam
Kwa sasa ni rahisi sana kupata huduma zetu ukiwa mkoa wowote Tanzania...