Call / WhatsApp +255755949413

Jul 22, 2015

HOTEL TV SYSTEM INSTALLATION

TV INSTALLATION Mapendekezo ni ya mteja kwa maana mmiliki wa hotel/sehemu yeyote husika  kwamba tv zikae ukutani ama mezani,kazi yetu ni kutoa ushauri kwa jinsi mazingira yalivyo,je muonekano mzuri ni upi tv kukaa mezani ama ukutani? ingawaje mara nyingi tv kukaa ukutani...
Share:

Jul 21, 2015

MBUYU TWITE | AZAM TV & DSTV

Baraka za mikono salama,kazi nzuri kwa wengine imefanya nifike kwa huyu jamaa tegemezi la timu ya young African Mbuyu Twite,tumefunga DSTV na AZAM TV pia! +2557894766...
Share:

Jul 18, 2015

UPO FACEBOOK !!!???

Je blog yetu imekusaidia kwa kiasi fulani,kwa kukupatia maelezo kwa wakati na kwa kina kuhusu ving'amuzi bila kuchagua ama je blog yetu imekusaidia kukuwezesha kupata huduma ya kununua na kufungiwa king'amuzi kwa wakati? Ama imekusaidia kupata mafundi wa kukufungia king'amuzi...
Share:

Jul 15, 2015

KING'AMUZI KITAKACHOONYESHA KOMBE LA KAGAME 2015

Ni kiu ya wapenzi wengi na maswali yakiwa yanazidi kila kukicha ya kuwa ni king'amuzi gani na kifurushi gani kitaonyesha CECAFA 2015 kombe la Kagame. Wala nisikupotezee muda jibu ni DStv. Kama utalipia kifurushi cha Compact Plus utaweza kuona hizi mechi kwa raha bila kukosa...
Share:

Jul 1, 2015

DSTV IMESHUKA TSH 79,000= BILA UFUNDI!

Kwa wateja wapya hii inawahusu sana,muda ambao mamlaka ya mapato tanzania imepandisha bei ya kodi kwenye $,jambo lililopelekea pia kupanda kwa gharama za malipo ya mwezi ya vifushi vya ving'amuzi vyote. Kwa kulizingatia hilo Multichoice Tanzania imeonelea ipunguze gharama...
Share:

Jun 26, 2015

AZAM TV BEI MPYA TSH 135,000/= BILA UFUNDI!

Ingawaje mikoani na sehemu nyingi tu bado wanauza bei wanazojua wao ila bei elekezi ni tsh 135,000 tu,hii inakuwa bila kifurushi wala ufundi! Ili ufungiwe itakulazimu kulipia tsh 30,000 tu,ambao itakulinda kwa muda wa miezi mitatu na ikitokea ikasumbua fundi atakuja kumaliza...
Share:

Jun 19, 2015

RAMADHANI KAREEM

Tumeanza mwezi,mwezi ambao kwetu sisi waislamu una maana kubwa sana kwa haraka haraka tu huu ndio mwezi ambao quraan tukufu ndio ilishushwa mwezi huu na kwa uchache zaidi ndio mwezi ambao mwenyezi mungu anatusamehe dhambi zetu tulizonazo na tutakazokuwa nazo,ni mwezi ambao...
Share:

Jun 18, 2015

LOADING...

Nilichogundua karibu ving'amuzi vyote vina mapungufu na hii inatokana na kujisahau,wafanyakazi kufanyakazi bila juhudi binafsi wanafanya ile bora liende mwisho wa mwezi tukinge,pia makampuni yenyewe husika hayajajipanga katika baadhi ya mambo ili kukabiliana na ushindani...
Share:

Jun 16, 2015

BEI MPYA YA MALIPO YA MWEZI AZAM TV

Burudani kwa wote.. Kwa mujibu wa Azam tv bei za vifurushi zimepanda kutokana na ungezeko la kodi, hivyo kile kifurushi cha tsh 10,000/= kimekuwa tsh 12,000/= kifurushi cha 15,000/= kimekuwa tsh 20,000/= na kifurushi cha 20,000/= kimekuwa tsh 30,000/= Pia siku za usoni...
Share:

Jun 10, 2015

VIFURUSHI VYA TING | TING PACKAGES

Hivi ndivyo vifurushi vilivyopo na bei zake kwenye king'amuzi cha Ting kwenye Antenna na kwenye Dish! 1.REGULAR PACKAGE Inachannel 12+ safi Malipo ni Tsh 11,000/= Kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki! Package hii ni kwenye Antenna tu! 2.CLASSIC PACKAGE Ina...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413