
Je unahitaji kujiunga na DStv hii itakuwa inakufaa zaidi kwa maana hapatakuwa na kisingizio tena ipo hivii:-
Kama unahitaji kujiunga kwa maana kununua ni tsh 79,000/= bila ufundi ila ndani yake kuna kifurushi cha Compact sijui nimeeleweka hapa!!??
Na kwa wale wateja wa zamani...