Ilikuwa ni kazi ya siku moja ama 2 ila kutokana na mazingira yalivyo imetuchukua wiki 2 ama 3.. hii ni sehemu ambayo haitakiwi kelele na inapotokea idadi ya wagonjwa ni kubwa hakuna nafasi ya kina sie kufanya tulichokifanya hivyo ikawa tunachagua siku maalumu katika wiki...
Oct 30, 2017
STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia
Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata...
Oct 29, 2017
KWENYE NYUMBA 1 | TUMIA DISH 1 KWA WAPANGAJI WOTE
Imezoeleka kufanyika kwenye Aparment kubwa,ambapo gharama na hata mfumo wake huwa expensive ila leo nikupe siri, mfumo huu unaweza kuwa rahisi na bora kwako hata wewe ambaye unamiliki nyumba ambayo sio apartment kuubwa, hata nyumba ya kawaida ambayo ina wapangaji ama mnaishi...
Oct 15, 2017
CABLE SNAKE BUNNINGS

Hiki ni kifaa maalum ambacho kinatumika katika kuvuta wire unaopita kwenye Conduit, hutumika pale inapotokea ugumu katika kupitisha cable ili uweze kufika kwenye point husika..
Cable Snake mara nyingi hutumika pale tunapofanya Installation kwenye Apartment, Hotel, n.k
Naseer...
Oct 14, 2017
TUNAKUFANYIA KILICHO BORA KWA KIPATO ULICHONACHO!

Niliwahi kusikia na watu wengi huamini hivyo ya kuwa ili upate kilicho bora ni lazima uwe na salio la kutosha imani ambayo sisi #MaDishTechnology tunapingana nayo na tunakuhakikishia wewe mdau wetu ya kuwa hata kwa kipato chako kidogo unaweza kupata kitu kilicho bora!
Ubunifu...
Oct 11, 2017
DISH 1 YA DSTV DECODER 91 ROOM 168

APARTMENT INSTALLATION:
Jengo la Apatment husika
Mustapha MaDish
Kinachofanyika hapa kinawezekana hata kwenye nyumba yako ya kawaida ambayo ina room 3 ama zaidi, Hostel n.k. Inawezekanaje !?
Hii ni Apartment ina jumla ya nyumba 91 na ina vyumba...
Oct 3, 2017
OFFER YA AZAM TV 2017 KUELEKEA 2018

King'amuzi ambacho ni mpinzani pekee wa DStv kwa Tanzania na ni kweli kinafanya vizuri sana hasa bila kumung'unya maneno..!
Siku za usoni nitakuja kuwajuza sababu ya king'amuzi cha azam tv kufanya vizuri na kuchuana na mkongwe wa Digital Tanzania DStv ili wanaowasindikiza...
Oct 2, 2017
OFFER YA DSTV 2017 KUELEKEA 2018

FUNGA MWAKA NA DSTV
Offer hii inakupa unafuu kama ifatavyo:-
Kwa Tsh 79,000/= Unapata Vifaa pamoja na kifurushi cha mwezi mmoja ( Bomba Tsh 19,000 )
Ufundi Tsh 30,000/=
Vifurushi vya DStv Bofya Hapa
DStv ni king'amuzi ambacho naweza nikasema kwa offer kinaongoza...