
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu bei za ving'amuzi katika mikoa yote ukiacha dar es salaam ijapokuwa baadhi ya wauzaji wa dar es salaam hili linawahusu!
Hapa nazungumzia ving'amuzi vyote vilivyopo tanzania,kampuni husika wanatoa bei elekezi ambapo bei hiyo inapaswa...