Call / WhatsApp +255755949413

Feb 25, 2016

OFFER YA DSTV UKINUNUA UNAPATA...

Je unahitaji kujiunga na DStv hii itakuwa inakufaa zaidi kwa maana hapatakuwa na kisingizio tena ipo hivii:- Kama unahitaji kujiunga kwa maana kununua ni tsh 79,000/= bila ufundi ila ndani yake kuna kifurushi cha Compact sijui nimeeleweka hapa!!?? Na kwa wale wateja wa zamani...
Share:

Feb 17, 2016

VIFURUSHI VYA CONTINENTAL DECODER

Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:- Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo...
Share:

Feb 10, 2016

BEI MPYA YA VIFURUSHI VYA ZUKU

Kuanzia tarehe 01/03/2016 malipo ya vifurushi vya zuku itapanda kutokana na sababu za kimaboresho kwa mujibu wa Zuku! Tsh 10,000/= kifurushi kipya Bofya Hapa Ambapo kifurushi cha Classic kitakuwa tsh 18,000/= badala ya tsh 15,000/= iliyopo sasa! Kupata kujua channel...
Share:

Feb 9, 2016

UNATAKA KUNUNUA AZAM TV!!??

Yapata wiki ya pili sasa kwa wale wauzaji king'amuzi cha Azam tv kimekuwa adimu kutokana na mzigo kutokuwepo makao makuu ya Azam,ingawaje taarifa zilizotoka ilikuwa jumatatu ya tarehe 8/2/2016 mzigo ungekuwa umeshafika na kuanza kuuzwa kwa mawakala na wateja pia ila hali...
Share:

Feb 1, 2016

mustaphamadish@gmail.com

...
Share:

Jan 15, 2016

UNA DECODER YA CONTINENTAL NA HUPATI CHANNELS!?

Kuna tatizo la baadhi ya makampuni ya ving'amuzi Tanzania kushindwa kutoa taarifa kwa wateja wao kwa wakati kama ikitokea kuna tatizo Fulani au mabadiliko Fulani! Hii inaathiri sana kimauzo kwakuwa sifa mbaya inakaa muda mrefu na kuvuma kwa haraka kuliko sifa...
Share:

Jan 2, 2016

KUPATA RATIBA YA AZAM TV

wewe ni mteja wa Azam tv ?  Unapata usumbufu wa kutaka kujua ratiba ya kitakachofata kwa siku hiyo na siku zijazo pia? Ni rahisi mno kwako ili kujua kwa namna gani unaweza kupata ratiba hiyo kwa kupitia king'amuzi chako Bofya Hapa +2557894766...
Share:

Dec 6, 2015

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI DSTV

Wateja wengi wa DStv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue vifurushi vya Dstv kwa Kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi cha DStv...
Share:

Dec 5, 2015

EMANUEL TV | TB JOSHUA

 Ni mkristo gani ambaye ni muangaliaji wa tv na haijui Emmanuel tv? ama hamjui TB Joshua? Pastol wa kanisa la mataifa yote.. Emmanuel tv ni tv ambayo ina wapenzi karibu dunia nzima,ni tv kubwa sana ya dini ambayo makao makuu...
Share:

Dec 3, 2015

FUNDI DISH HUJISIKII VIBAYA | KWA UCHAFU HUU!?

 Lawama zimekuwa ni nyingi kuhusu Ving'amuzi kusumbua,ambapo Ving'amuzi vinavyolalamikiwa wala havina usumbufu huo,katika kuchunguza nimegundua ya kuwa mafundi husababisha Ving'amuzi vionekane vinasumbua hata kama havina sifa hiyo ijapokuwa kweli kuna Baadhi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645523

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413