Call / WhatsApp +255755949413

Nov 27, 2017

ZIJUE OFFER ZA VING'AMUZI 2017 KUELEKEA 2018

Tunaelekea katika kumaliza mwaka 2017 na tunategemea kuingia mwaka 2018, yapo mengi ambayo kupitia blog hii umefaidika kwa hali yeyote ile kama ndivyo tunashukuru kwakuwa ndio lengo letu, lakini pia nadhani yapo yaliyokukera kupitia blog hii kama ndivyo tunasikitika na kukuomba...
Share:

Nov 23, 2017

DISH 3 | DECODER & RECEIVER 18 | CHANNELS 18 | KWA KILA TV

Hotel - Tv system installation:-  Hii ni hotel ina flow zipatazo tano ina zaidi ya room 50, ina ukumbi wa mikutano,sherehe, ina restaurant, ina bar na kuna sehemu ya Disco pia. Hapa tulichofanya ni kufunga tv ambazo ni zaidi ya 60 tv ambazo kila moja inapokea channels...
Share:

Nov 11, 2017

TUNATENGENEZA UTOFAUTI NA WENGINE

Mwaka unaishia yapo yaliyoenda sawa na yapo ambayo yamezidi kwenda kombo, hapa nazungumzia ulimwengu mzima wa Digital tv, ulimwengu ambao umekuja na fursa kwa namba kubwa kwetu sisi vijana lakini pia kuna changamoto ambhata ambazo zinawakabili wote wanaohusika na mulimwengu...
Share:

WAKATI MWENGINE TUNAZUNGUMZIA KAZI KWA SURA NYENGINE

 Eneo ni Hotel ya Sea Cliff ndani ya mgahawa wa Karambezi, robo 3 ya wateja wa mgahawa huu ni ngozi nyeupe na lugha itumikayo kwa wengi wa wateja wa hapa ni kiingereza na hivyo hata mazingira huwa kama sio Tanzania hivi... Kwa mwezi wa 10 imekuwa ni sehemu ambayo nimetembelea...
Share:

Nov 5, 2017

OFFER YA STARTIMES 2017 KUELEKEA 2018

MFALME WA BURUDANI ZA FAMILIA Offer hii inakupa unafuu kama ifatavyo:- Kwa Tsh 78,000 StarTimes ya Dish - Unapata vifaa pamoja na kifurushi cha mwezi mmoja. Kwa Tsh 34,000 Decoder ya Antenna. Ufundi Tsh 30,000 Startimes ya Dish. Ufundi Tsh 20,000 Startimes ya Antenna. Vifurushi...
Share:

Nov 1, 2017

OFFER YA ZUKU TV

Katika kumbukumbu yangu ilikuwa ili umiliki king'amuzi cha Zuku tv ni lazima ilikuwa uwe na Tsh150,000/= Bei ikashuka ikawa Tsh 105,000/=! Ikashuka tena kwa Tsh 95,000/= Kwa sasa OFFER iliyopo ni tsh 88,000/= unapata Dish,Decoder,Kufungiwa na miezi mitatu bure! Bei...
Share:

Oct 31, 2017

TUMEFUNGA TV 15 | DISH 1 | MUHIMBILI HOSPITAL

Ilikuwa ni kazi ya siku moja ama 2 ila kutokana na mazingira yalivyo imetuchukua wiki 2 ama 3.. hii ni sehemu ambayo haitakiwi kelele na inapotokea idadi ya wagonjwa ni kubwa hakuna nafasi ya kina sie kufanya tulichokifanya hivyo ikawa tunachagua siku maalumu katika wiki...
Share:

Oct 30, 2017

STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata...
Share:

Oct 29, 2017

KWENYE NYUMBA 1 | TUMIA DISH 1 KWA WAPANGAJI WOTE

Imezoeleka kufanyika kwenye Aparment kubwa,ambapo gharama na hata mfumo wake huwa expensive ila leo nikupe siri, mfumo huu unaweza kuwa rahisi na bora kwako hata wewe ambaye unamiliki nyumba ambayo sio apartment kuubwa, hata nyumba ya kawaida ambayo ina wapangaji ama mnaishi...
Share:

Oct 15, 2017

CABLE SNAKE BUNNINGS

Hiki ni kifaa maalum ambacho kinatumika katika kuvuta wire unaopita kwenye Conduit, hutumika pale inapotokea ugumu katika kupitisha cable ili uweze kufika kwenye point husika.. Cable Snake mara nyingi hutumika pale tunapofanya Installation kwenye Apartment, Hotel, n.k Naseer...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645523

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413