Call / WhatsApp +255755949413

Nov 26, 2015

RATIBA YA AZAM TV

Ilikupata ratiba ya king'amuzi chako cha Azam tv:- Chukua remote yako,bonyeza 1- menu.. 2- Digital TV    3- Programme Guide  4- Chagua channel unayotaka kupata ratiba yake ya wiki nzima kama inavyoonekana hapo juu!    5- Ikiwa maelezo...
Share:

Nov 25, 2015

KUZIMIKA KWA VING'AMUZI BILA TAARIFA KWA WATEJA!

Idadi ya simu ninazopokea kwa takribani wiki tatu mpaka leo hii ni wateja wa baadhi ya ving'amuzi ambavyo vimekata matangazo yao bila taarifa yeyote kwa wateja wao na kitu kibaya zaidi ushirikiano unakuwa sio mzuri kwa mujibu wa wateja wanaonipigia mimi! Ving'amuzi vilivyokata...
Share:

Nov 19, 2015

UNATAKA KUJUA NINI KUHUSU DIGITAL TV ?

Yapo mengi ambayo siwezi kuyamaliza kwa siku moja na pia siwezi kuyamaliza ikiwa sijajua ambacho wewe ungependa kujua kuhusu ulimwengu huu wa Digital tv na hata ukihitaji kujua yale ya Analogue tv nipo tayari kukujuza kwa kina kabisa! Ni nini ambacho ungependa kukijua...
Share:

Nov 16, 2015

DSTV HUDUMA KWA WATEJA NA KUPATA MAFUNDI WA DSTV

Je unatumia DStv? ama unahitaji kujiunga na DSTV?  Karibu kwa kufata utaratibu huu:- IKIWA UNATUMIA DSTV: Umelipia na bado hupati channel? Picha inakatakata ama haionyeshi kabisa Unataka kuhama toka nyumba moja kwenda nyengine Unahitaji kuongeza Decoder nyengine...
Share:

Nov 1, 2015

VIFURUSHI NA CHANEL ZA STARTIMES

Ni moja kati ya makampuni ambayo yanamiliki ving'amuzi aina mbili tofauti kimasafa,nikiwa na maana ya kuwa kuna aina mbili ya Decoder za startimes: StarTimes ya Antenna StarTime ya Dish Kwa kukurahisishia startimes wakati wanaanza hapa nchini walianza na mfumo wa...
Share:

KING'AMUZI GANI BORA TANZANIA!?

Swali ambalo kila kukicha nakutana nalo kutoka kwenu.. Kwa kuanzia nikwambie ving'amuzi vilivyopo Tanzania ili niweze kukwambia kilicho bora.. Azam tv  Continental Coconut Digital tv DStv Digitek Easy tv Startimes Ting Zuku tv Kwa kuanzia nikwambie ving'amuzi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645298

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413