
Nimeonelea niweke hapa ili wateja wote wa Azam tv na wale wanaotaka kujiunga kulifahamu hili..
Awali ilikuwa usipolipia malipo ya mwezi zinabaki Lacal channel kwa muda wa wiki tatu siku 21..
Lakini sasa utaratibu umebadilika,ambapo kama malipo yako ya mwezi yatakata...