Call / WhatsApp +255755949413

Apr 15, 2016

AV CABLE NI NINI!?

A inasimama badala ya Audio - Sauti V inasimama badala ya Video - Picha Zinakuwa nyaya tatu zenye rangi tatu tofauti:- Nyekundu - Sauti Kulia Nyeupe - Sauti Kushoto Nyano - Picha Hivyo tafsiri nyepesi ni kwamba AV CABLE ni waya unaosafirisha Sauti na Picha kutoka kwenye...
Share:

Apr 12, 2016

KOPO HALISAIDII CHOCHOTE KWENYE DISH

Leo nimeonelea niongelee hili jambo kwakuwa ukiachilia kuliona sehemu mbali mbali pia nimekuwa nikulizwa kama kuna umuhimu wa wenye ving'amuzi vya madish kuweka makopo?  Jambo la awali la kuzingatia king'amuzi kiwe cha Dish ama Antenna kina namna ya ufungaji wake...
Share:

UMELIPIA NA BADO HUPATI PICHA!?

Hili ni janga kubwa karibia kwa wateja wote wa ving'amuzi vya kulipia,unafanya malipo lakini hupati picha kwa wakti ama hupati picha kabisa! Njia za kufanya ili usipate usumbufu wakati wa kufanya malipo ya mwezi:- > Kabla ya kufanya malipo hakikisha unajua bei ya kifurushi...
Share:

Mar 24, 2016

NINI UFANYE KING'AMUZI CHAKO KIKIPOTEZA SIGNAL!!

Ukiona neno NO SIGNAL ama kwa kukurahisishia ukiona hupati picha kwenye King'amuzi chako na unapata ujumbe ambao hauhusiani na malipo ujue kuna tatizo la Signal lakini utathibitisha vipi kujua kama ni kweli tatizo ni Signal. > Kila King'amuzi kina channel ya/za bure (...
Share:

Mar 21, 2016

KIFURUSHI CHA AZAM SPORTS HD HAKIPO TENA!

Hili ni mojawapo kati ya maboresho ya kampuni ya Azam Media kupitia king'amuzi chake cha Azam tv.. Awali kulikuwa na vifurushi kama vitano hivi ambapo ni:- AZAM PURE PACKAGE tsh 12,000/= AZAM PLUS PACKAGE tsh 20,000/= AZAM PLAY PACKAGE tsh 25,000/= AZAM SPORTS HD PACKAGE...
Share:

Mar 18, 2016

STARTIMES KIFURUSHI CHAKO KIKIISHA

  KUNA AINA MBILI YA VING'AMUZI:- DISH - kinacotumia Dish ANTENNA - kinachotumia Antenna Malipo ya mwezi yanapoisha wengi tunajua ya kuwa Local channel zinabaki ni kweli ila sio kwa ving'amuzi vyote! Kuna namna mbili ya walivyofanya Startimes vipo ving'amuzi...
Share:

Mar 17, 2016

AZAM TV KIFURUSHI CHAKO KIKIISHA

Nimeonelea niweke hapa ili wateja wote wa Azam tv na wale wanaotaka kujiunga kulifahamu hili.. Awali ilikuwa usipolipia malipo ya mwezi zinabaki Lacal channel kwa muda wa wiki tatu siku 21.. Lakini sasa utaratibu umebadilika,ambapo kama malipo yako ya mwezi yatakata...
Share:

Mar 10, 2016

CUSTOMER CARE ZA VING'AMUZI TANZANIA

Katika vitu wanavyofail karibia makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania ni CUSTOMER CARE ingawaje baadhi ya makampuni wameboresha lakini si kwa kukidhi mahitji ya wote.. Nilichogundua ni kwamba wateja wengi hawapendi kupokelewa na mashine,muda ambao mteja anasikiliza...
Share:

Mar 9, 2016

KIFURUSHI CHA ZUKU SMART PACK | TSH 8,999

 Habari njema kwa wateja wa zuku na wale wanaotaka kujiunga na zuku tv ni hii hapa:- Kwa tsh 8,999 Unapata kuona channel za tv 30 Radio 18 + Local channel Punde nitawawekea channel zilizopo....!! Ukitaka kujua vifurushi vingine vya zuku tv BOFYA HA...
Share:

Feb 25, 2016

OFFER YA DSTV UKINUNUA UNAPATA...

Je unahitaji kujiunga na DStv hii itakuwa inakufaa zaidi kwa maana hapatakuwa na kisingizio tena ipo hivii:- Kama unahitaji kujiunga kwa maana kununua ni tsh 79,000/= bila ufundi ila ndani yake kuna kifurushi cha Compact sijui nimeeleweka hapa!!?? Na kwa wale wateja wa zamani...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645499

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413