Call / WhatsApp +255755949413

Oct 30, 2016

FLAT SCREEN INSTALLATION #FundiMakini

    Baadhi ya ile team #FundiMakini mikono salama ya Mustapha MaDish na TeamKazi ikiwa inafanya Installation ya Flat Screen sehemu tofauti tofauti! Si kila mtu anaweza kufanya tunachofanya! Je unahitaji...
Share:

MAANDALIZI YA SIGNAL QUALITY #FundiMakini

Kitu kizuri kwenye ulimwengu wa Digital Tv hususani kwa Tanzania kinakuja.. Lengo ni kusaidia watanzania wote kwa ukaribu zaidi kuhusu ulimwengu wa Ving'amuzi.. Kuna udhaifu mkubwa katika kutoa habari,msaada,ushauri nk. kwa jamii kuhusu ulimwengu wa Digital...
Share:

Oct 28, 2016

OFFER YA X MASS | ZUKU TV 2016

Kuelekea kumaliza mwaka Zuku inakuja na Offer hii kwenye msimu huu wa sikukuu ya x mass na mwaka mpya !! Tsh 88,000/= Kununua Badala ya Tsh 95,000/= Hii unapata Vifaa vyote ( Dish,Decoder,Lnb na Cable ) Ndani yake unapata kifurshi cha Smart Pack kwa miezi mitatu buree!! Hii...
Share:

Oct 25, 2016

MAFUNDI WA VING'AMUZI TANZANIA

Mafundi wa uhakika wa king'amuzi chako unachotumia limekuwa tatizo kubwa hasa kwa baadhi ya maeneo,hii imepelekea baadhi ya wateja kuona yakwamba king'amuzi anachotumia ni tatizo kwakuwa hakupata Fundi makini ambaye angeweza kumfungia ama kumrekebishia ipasavyo.....
Share:

Oct 24, 2016

MAFUNDI WA AZAM TV

 Azam tv iliyofungwa na fundi kalipua ndo hiyo ya kwanza hapo na Azam tv inafungwa na Fundi makini ndo hiyo hapo inamaliziwa na mikono salama ya Chidy kuelekea Signal Quality Tv! Kupata Moja ya Mafundi Makini wa Azam Tv Piga +255789476655 Achana na akina Fundi kalipua...
Share:

Oct 9, 2016

MAFUNDI WA STARTIMES

Wewe ni mteja wa Zuku tv!? Una tatizo la kiufundi ama unahitaji Ushauri wa kiufundi? Kupata mawasiliano ya Mafundi wa uhakika..  Je unataka kujiunga na Zuku Tv? Unataka kupata Mafundi wa uhakika na wazoefu? Piga +255789476655 Ukifungiwa nasi:- Unapata...
Share:

Oct 6, 2016

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI ZUKU TV

Wateja wengi wa Zuku tv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue Vifurushi vya Zuku tv kwa Kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi...
Share:

Oct 1, 2016

MSIMU WA OFFER 2016 | VING'AMUZI TANZANIA

  Tunaelekea kumaliza mwaka 2016 na kutokana na ushindani uliopo katika ukanda wa Digital tv,makampuni ya Ving'amuzi yanajitahidi kutafuta namna ya kushawishi wateja wapya na kujiunga na ving'amuzi vyao huku wakiwafanya wateja walionao kutowapoteza kwa kuboresha huduma...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413