Wateja wengi wa DStv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi!
Kwanza vijue vifurushi vya Dstv kwa Kubofya Hapa
Ikitokea umelipia kifurushi cha DStv...
Dec 5, 2015
EMANUEL TV | TB JOSHUA

Ni mkristo gani ambaye ni muangaliaji wa tv na haijui Emmanuel tv? ama hamjui TB Joshua?
Pastol wa kanisa la mataifa yote..
Emmanuel tv ni tv ambayo ina wapenzi karibu dunia nzima,ni tv kubwa sana ya dini ambayo makao makuu...
Dec 3, 2015
FUNDI DISH HUJISIKII VIBAYA | KWA UCHAFU HUU!?

Lawama zimekuwa ni nyingi kuhusu Ving'amuzi kusumbua,ambapo Ving'amuzi vinavyolalamikiwa wala havina usumbufu huo,katika kuchunguza nimegundua ya kuwa mafundi husababisha Ving'amuzi vionekane vinasumbua hata kama havina sifa hiyo ijapokuwa kweli kuna Baadhi...
Dec 1, 2015
JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI AZAM TV

Wateja wengi wa Azam tv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi!
Kwanza vijue Vifurushi vya Azam tv kwa kubofya Hapa
Ikitokea umelipia kifurushi...
Nov 26, 2015
RATIBA YA AZAM TV

Ilikupata ratiba ya king'amuzi chako cha Azam tv:-
Chukua remote yako,bonyeza 1- menu..
2- Digital TV
3- Programme Guide
4- Chagua channel unayotaka kupata ratiba yake ya wiki nzima kama inavyoonekana hapo juu!
5- Ikiwa maelezo...
Nov 25, 2015
KUZIMIKA KWA VING'AMUZI BILA TAARIFA KWA WATEJA!

Idadi ya simu ninazopokea kwa takribani wiki tatu mpaka leo hii ni wateja wa baadhi ya ving'amuzi ambavyo vimekata matangazo yao bila taarifa yeyote kwa wateja wao na kitu kibaya zaidi ushirikiano unakuwa sio mzuri kwa mujibu wa wateja wanaonipigia mimi!
Ving'amuzi vilivyokata...
Nov 19, 2015
UNATAKA KUJUA NINI KUHUSU DIGITAL TV ?

Yapo mengi ambayo siwezi kuyamaliza kwa siku moja na pia siwezi kuyamaliza ikiwa sijajua ambacho wewe ungependa kujua kuhusu ulimwengu huu wa Digital tv na hata ukihitaji kujua yale ya Analogue tv nipo tayari kukujuza kwa kina kabisa!
Ni nini ambacho ungependa kukijua...
Nov 16, 2015
DSTV HUDUMA KWA WATEJA NA KUPATA MAFUNDI WA DSTV

Je unatumia DStv? ama unahitaji kujiunga na DSTV?
Karibu kwa kufata utaratibu huu:-
IKIWA UNATUMIA DSTV:
Umelipia na bado hupati channel?
Picha inakatakata ama haionyeshi kabisa
Unataka kuhama toka nyumba moja kwenda nyengine
Unahitaji kuongeza Decoder nyengine...
Nov 1, 2015
VIFURUSHI NA CHANEL ZA STARTIMES

Ni moja kati ya makampuni ambayo yanamiliki ving'amuzi aina mbili tofauti kimasafa,nikiwa na maana ya kuwa kuna aina mbili ya Decoder za startimes:
StarTimes ya Antenna
StarTime ya Dish
Kwa kukurahisishia startimes wakati wanaanza hapa nchini walianza na mfumo wa...
KING'AMUZI GANI BORA TANZANIA!?

Swali ambalo kila kukicha nakutana nalo kutoka kwenu..
Kwa kuanzia nikwambie ving'amuzi vilivyopo Tanzania ili niweze kukwambia kilicho bora..
Azam tv
Continental
Coconut Digital tv
DStv
Digitek
Easy tv
Startimes
Ting
Zuku tv
Kwa kuanzia nikwambie ving'amuzi...
Oct 18, 2015
OCTOBER 25 | FANYA KWELI

NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA
Popote nitasimama na kujivunia kuwa mtanzania mzawa,najivunia lugha yetu kiswahili najivunia na mengi mazuri yaliyopo nchini mwangu,nchi huru ambayo najisikia kufanya chochote wakati wowote pasi tu kuvunja sheria...
AMANI IMESABABISHWA NA UPENDO
Ni...
Oct 15, 2015
ZUKU TV TANZANIA VIFURUSHI NA BEI MPYA

Tsh 75000/= Unapata king'amuzi kikiwa na muda wa kuona wa mwezi mmoja.
Inakuwa na vifaa vyote kama:Dish,Decoder,LNB,Cable na stendi.
HII INAKUWA BILA UFUNDI
Kwa sasa kuna vifurushi vinne tu navyo ni kama ifatavyo:-
ZUKU CLASSIC TSH 15,500 Per Month - Channels...
Oct 13, 2015
MIEZI MITATU BURE | TUKIKUHUDUMIA

Ikitokea umekuwa mteja wetu kwa mara ya kwanza tumekufungia king'amuzi chochote kile kati ya hivi:-
DSTV
STARTIMES
ZUKU TV
AZAM TV
CONTINENTAL
Tatizo lolote la kiufundi likitokea ndani ya miezi mitatu tutahusika kwa kukuhudumia pasi kulipia malipo ya ziada ikiwa halijasababishwa...
Oct 10, 2015
NUNUA KING'AMUZI UKIWA KWAKO

PIGA SIMU +255789476655
Jitambulishe na mahali ulipo.
Chagua king'amuzi chochote kwa matakwa yako.
Tutakushauri kabla hujanunua king'amuzi ulichokusudia na vyengine kama utapenda.
Tutakapofika muafaka unaletewa king'amuzi ulipo.
Na fundi anakufungia papohapo kama ukihitaji...
Sep 29, 2015
CHANNEL ZA LOCAL BURE | VING'AMUZI VYOTE

Utatumia king'amuzi gani!!?? Swali la kwanza ambalo naweza kukuuliza..
Najua kwa mapenzi ya king'amuzi ulichokichagua na kukinunua ukiachilia mapenzi yako ila umehitaji kuona na Local Channel maana yake uone mambo yanayoendelea nyumbani kwako ikiwemo taarifa...
Sep 6, 2015
KIFURUSHI CHA NYOTA TSH 9,000 | TSH 11,000

Kifurushi hichi kinapatikana kwenye kisimbuzi cha Dish na Anntena, ambapo kwenye Dish ni Tsh 11,000 na kwenye Antenna ni Tsh 9,000
Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:-
Kuna zaidi ya channel 30!
Channels za Dish:-
Filamu na Tamthilia
ST Zone
AMC Movies
Burudani
ST...
Sep 3, 2015
TV 1 | IMEKUJA VIZURI SANA

Hii ni tv ya kitanzania iliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka jana,ambayo imejikita zaidi kwenye burudani nami nimekuwa nikiifatilia niseme tu ukweli ni tv 1 kweli kwa ambacho wanakifanya!
Inamilikiwa na kampuni ya sweden iitwayo ( MTG ) Modern Times Group.
Usiniambia...
Sep 1, 2015
WAPENZI WA SOKA WAZIDI KULIA

Kwa siku kama nne hivi nimepokea simu nyingi sana zinazouliza kama kuna namna nyengine ya kuangalia mpira wa ligi za nje tofauti na dstv,sababu nikiuliza ni nini jibu jepesi sana ni kutokana na licha ya wadau kulalamika malipo ya mwezi yapo juu imeongeza tena toka leo hii...