
Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi!
Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala Kifurushi
Ufundi ni Tsh 30,000/=
Vifurushi Bofya Hapa
Offer unayopata ni:
Kifurushi cha Tsh 15,000/= ambacho sasa kimekuwa Tsh 10,000/=...