Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko..
Mafanikio yanahitaji:-
- Kupenda unachofanya
- Kukijua ama jifunze zaidi ili ukijue
- Kuheshimu na kukitetea unachofanya
- Kujitoa
- Kujituma
- Juhudi binafsi
- Kujiongeza ( kuwa mbunifu )
- Kuwa na heshima na Pesa
- Kutokuwa mnyimi ama mbinafsi
- Na mengineyo...
Nipo kwenye ukanda huu yapata mwaka wa nane sasa nina uzoefu wa kutosha kuhusu makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania na watumiaji wake pia ile kiundani zaidi..
Najua nimesaidia wengi ndani na nje ya Tanzania,nimetengeneza BASE kubwa mno mpaka binafsi kama siamini hivii ila hii yote kutokana na Kupenda nilichamua kufanya n nashukuru Alhamdullah!
Mwaka unaishi na tunategemea kuingia mwaka mpya 2017
Mwaka unaishi na tunategemea kuingia mwaka mpya 2017
mimi na team yangu ile mikono salama #FundiMakini tunakuletea kitu kizuri sana kwenye ulimwengu wa Digital Tv... Kubwa tunashukuru kwa uwepo wenu na kutupa moyo zaidi ya yote tunawaahidi kuwaletea vitu vizuri zaidi ili kila mmoja wenu ahufurahie ulimwengu wa Digita Tv!
+255 789476655