Call / WhatsApp +255755949413

May 31, 2017

UFUNDI UNAHITAJI UMAKINI

Kwanza ukishakuwa Fundi moja kwa moja unaaminika kwa taaluma uliyonayo hivyo mteja ama jamii kwa ujumla wanajikuta wanaona unachofanya ama kusema ndicho sahihi kutokana na wadhifa wako hata kama ni cha uongo… Binafsi niwape angalizo wateja na mafundi kiujumla kwanza nianze na...
Share:

May 28, 2017

SABABU ZA KING'AMUZI CHAKO KUZIMA GHAFLA

Hii nimejumuisha Ving’amuzi vyote iwe Azam tv,DStv,Startimes,Zuku,Continental,Digitek na hata Receiver za FTA kiujumla. Angalia kwenye orodha king’amuzi unachotumia kisha ukibofya utapata maelezo ya kina tatizo na nini unachopaswa kufanya.        ...
Share:

May 1, 2017

OFFER YA AZAM TV 2018

Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi! Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala Kifurushi Ufundi ni Tsh 30,000/= Vifurushi Bofya Hapa Offer unayopata ni: Kifurushi cha Tsh 15,000/= ambacho sasa kimekuwa Tsh 10,000/=...
Share:

Apr 2, 2017

KUTUMIA KING'AMUZI CHA AZAM TV KWA TV ZAIDI YA 1

Azam tv, decoder yake yenyewe kama yenyewe haina uwezo wa kugawa kwa tv nyengine kwa kutumia RF Cable kama ilivyo king'amuzi cha DStv, hii imepelekea watumiaji wengi wa Azam tv kushindwa kugawa kwenye tv nyengine ila hii inatokana na uelewa mdogo wa fundi husika, sasa leo tutapeana...
Share:

Mar 22, 2017

KARIBU KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP

> Je una King'amuzi? > Je una swali lolote kuhusu King'amuzi? > Kama bei za Vifurushi/Jinsi ya kulipia/Kupata Mafundi, n.k > Unataka kununua King'amuzi ama Chochote kinachohusu Ving'amuzi! > Kwa Ushauri | Maoni | Elimu | Habari | => Jiunge na Group la whatsapp...
Share:

Mar 6, 2017

OFFER YA DSTV 2018

DStv inaendelea kufanya vizuri na sasa ina Offer kwa wateja wapya ukinunua King'amuzi kwa Tsh 79,000/= unapata na Kifurushi cha Bomba Tsh 19000 kwa miezi miwili! Ila offer itaisha mwezi wa tatu! Ufundi Tsh 30,000/= Vifurushi Bofya Hapa Umelipia na bado hupati picha Unataka...
Share:

Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI

Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko.. Mafanikio yanahitaji:- Kupenda unachofanya Kukijua...
Share:

Dec 2, 2016

TV E TANZANIA | KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Siku zote ili ufanye vizuri ni lazima upate mpinzani na ndicho kinachotokea hapa.. Historia inaonyesha Clouds Fm ilifanikiwa kuzipoteza radio ambazo alizikuta katika swala la burudani na kupelekea kuunyanyua kwa kiasi kikubwa music wa Bongo Flavour,mpaka ikafikia hatua...
Share:

Dec 1, 2016

KING'AMUZI NI NINI..??

Swali ambalo pengine hata wewe unajiuliza! King'amuzi ni nini!? - King;amuzi ni kifaa kinachotumika kupokea matangazo yanayorushwa kwa mfumo wa Digital ili yaonekane na kusikika hata kwenye tv za Analogue Zingatia:Kuna king'amuzi kinachotumia Antenna na King'amuzi kinachotumia...
Share:

Nov 18, 2016

MGAHAWA WA CITY SQUARE | POSTA | #FundiMakini

Javio Felix moja kati ya Ile team Mustapha MaDish vile vichwa vichache ninavyoviaminia... hofu ilinitoka baada ya kumpa safari moja ya kikazi Zanzibar na kurejea akiwa na mrejesho mzuri tu huku akiwa anacheka cheka mpaka jino la mwisho sijui alikaribishwa na urojoo!! Ingawaje...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413