Call / WhatsApp +255673378129

May 28, 2017

SABABU ZA KING'AMUZI CHAKO KUZIMA GHAFLA

Hii nimejumuisha Ving’amuzi vyote iwe Azam tv,DStv,Startimes,Zuku,Continental,Digitek na hata Receiver za FTA kiujumla.

Angalia kwenye orodha king’amuzi unachotumia kisha ukibofya utapata maelezo ya kina tatizo na nini unachopaswa kufanya.
  •             AZAM TV
  •            CONTINENTAL
  •            DIGITEK
  •            DSTV
  •            STARTIMES
  •            ZUKU

KWA MAELEZO ZAIDI NA USHAURI PIGA/TEXT WHATSAPP +255789476655

“Kutaka kujiunga na Group la whatsapp la ( Ving’amuzi TZ ) tutumie SMS no.yako +255678476655”
Share:

May 1, 2017

OFFER YA AZAM TV 2018


Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi!
Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala Kifurushi
Ufundi ni Tsh 30,000/=
Vifurushi Bofya Hapa
Offer unayopata ni:
  • Kifurushi cha Tsh 15,000/= ambacho sasa kimekuwa Tsh 10,000/= AZAM LITE
  • Kwa wiki ilikuwa Tsh 5,000/= ambapo kwa sasa ni Tsh 3,000/=
Kwa maelezo zaidi piga +255789476655
Share:

Apr 2, 2017

KUTUMIA KING'AMUZI CHA AZAM TV KWA TV ZAIDI YA 1

Azam tv, decoder yake yenyewe kama yenyewe haina uwezo wa kugawa kwa tv nyengine kwa kutumia RF Cable kama ilivyo king'amuzi cha DStv, hii imepelekea watumiaji wengi wa Azam tv kushindwa kugawa kwenye tv nyengine ila hii inatokana na uelewa mdogo wa fundi husika, sasa leo tutapeana faida jinsi ya kugawa picha kutoka kwenye king'amuzi cha azam na kwenda kwenye tv nyengine kwa idadi utakayo!

Hii ni AV Cable ambayo itatoa picha toka kwenye king'muzi cha Azam tv na kupeleka moja kwa moja mpaka kwenye RF Modulator ambayo itageuza AV kuwa RF. Kutoka kwenye king'amuzi kwenda kwenye Modulator zitaingia cable 3, zenya rangi 3 na inapotoka kwenye Modulator inatoka cable 1 yenye rangi moja ambayo inajulikana kama Coaxial cable ( RF Cable )

Decoder ya Azam tv

RF Modulator



Post hii inaendelea.....!!



KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
 +255789476655
2:00 asubuhi - saa 2:00 usiku
Share:

Mar 22, 2017

KARIBU KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP

> Je una King'amuzi?
> Je una swali lolote kuhusu King'amuzi?
> Kama bei za Vifurushi/Jinsi ya kulipia/Kupata Mafundi, n.k
> Unataka kununua King'amuzi ama Chochote kinachohusu Ving'amuzi!
> Kwa Ushauri | Maoni | Elimu | Habari |
=> Jiunge na Group la whatsapp kwa kutuma nambari yako kwenye nambari +255789476655
NB: Lengo la Group kila mmoja wetu awe amehamia ktk ulimwengu wa Ving'amuzi huku wote tukiwa tuna uelewa wa kutosha na tunahufurahia.






Share:

Mar 6, 2017

OFFER YA DSTV 2018


DStv inaendelea kufanya vizuri na sasa ina Offer kwa wateja wapya ukinunua King'amuzi kwa Tsh 79,000/= unapata na Kifurushi cha Bomba Tsh 19000 kwa miezi miwili! Ila offer itaisha mwezi wa tatu!
Ufundi Tsh 30,000/=
Vifurushi Bofya Hapa
Piga +255789476655
2:00 asubuhi - 2:00 usiku 
Share:

Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI


Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko..
Mafanikio yanahitaji:-
  • Kupenda unachofanya
  • Kukijua ama jifunze zaidi ili ukijue
  • Kuheshimu na kukitetea unachofanya
  • Kujitoa
  • Kujituma
  • Juhudi binafsi
  • Kujiongeza ( kuwa mbunifu )
  • Kuwa na heshima na Pesa
  • Kutokuwa mnyimi  ama mbinafsi 
  • Na mengineyo...
Nipo kwenye ukanda huu yapata mwaka wa nane sasa nina uzoefu wa kutosha kuhusu makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania na watumiaji wake pia ile kiundani zaidi..
Najua nimesaidia wengi ndani na nje ya Tanzania,nimetengeneza BASE kubwa mno mpaka binafsi kama siamini hivii ila hii yote kutokana na Kupenda nilichamua kufanya n nashukuru Alhamdullah!
Mwaka unaishi na tunategemea kuingia mwaka mpya 2017
mimi na team yangu ile mikono salama #FundiMakini tunakuletea kitu kizuri sana kwenye ulimwengu wa Digital Tv... Kubwa tunashukuru kwa uwepo wenu na kutupa moyo zaidi ya yote tunawaahidi kuwaletea vitu vizuri zaidi ili kila mmoja wenu ahufurahie ulimwengu wa Digita Tv!
+255 789476655
Share:

Dec 2, 2016

TV E TANZANIA | KWENYE KING'AMUZI CHAKO



Siku zote ili ufanye vizuri ni lazima upate mpinzani na ndicho kinachotokea hapa..
Historia inaonyesha Clouds Fm ilifanikiwa kuzipoteza radio ambazo alizikuta katika swala la burudani na kupelekea kuunyanyua kwa kiasi kikubwa music wa Bongo Flavour,mpaka ikafikia hatua hata kwa wasanii wa music huo ukienda kinyume na matakwa ya uongozi wa radio hiyo kinachotokea ni kupotea katika game ya Bongo Flavour hapo hapo bado kuna malalamiko mengi ya kwamba kuna unyonyaji!
E - Fm radio,ndio radio pekee inayoonekana imekuja kuleta upinzania mkubwa kwa radio Clouds Fm katika swala zima la burudani.. E - Fm radio wamefanikiwa kuufanya music wa Singeli kuwa biashara.. ukiacha hilo kwa mtazamo wa haraka haraka tu ni kwamba mmiliki wa E - Fm anakijua sana anachokifanya kwakuwa yupo kwenye ukanda huo muda mrefu hivyo alichoangalia udhaifu wa wengine nae akaongeza ubunifu na ndicho kinachompa na kitakachompa mafaniko zaidi..
E - Fm imepelekea kuzalisha TvE - Tanzania ni hatua nzuri sana na ya kupongeza mno..
TvE - Tanzania inapatikana kwenye ving'amuzi vifatavyo kwa sasa:-
  • Azam Tv - channel namba 115
  • DStv - channel namba 295
  • StarTimes channel namba 115
Binafsi nawatakia kila la heri katika kuboresha ili kutuongezea machaguo wapi tuangalie ama kusikiza
+255789476655
Share:

Dec 1, 2016

KING'AMUZI NI NINI..??

Swali ambalo pengine hata wewe unajiuliza!
King'amuzi ni nini!?
- King;amuzi ni kifaa kinachotumika kupokea matangazo yanayorushwa kwa mfumo wa Digital ili yaonekane na kusikika hata kwenye tv za Analogue

Zingatia:Kuna king'amuzi kinachotumia Antenna na King'amuzi kinachotumia Dish.
*Kuna aina mbili za Ving'amuzi
> King'amuzi cha kulipia ( Decoder )
> King'amuzi cha bure ( Receiver )
  1- King'amuzi cha kulipia ni vile ving'amuzi ambavyo ili uweze kuona channel ni lazima ufanye malizo kwa lugha nyepesi ni vile ving'amuzi vyote ambavyo vinamilikiwa na kampuni maalum,mara nyingi hutumia smart card na ikiwa havina smart card vina software maalum inayopelekea channel kuwa na ulinzi maalum kwa kutomruhusu mtu kutumia bila malipo vinginevyo upite uchakachuaji!
Mfano wa Ving'amuzi vya kulipia
> Azam tv
> DStv
> Continental
> StarTimes
> Zuku tv

2 - King'amuzi cha bure ni vile  ambavyo unaweza ukaona channel bila kufanya malipo ya mwezi ( FTA )!
King'amuzi hiki kinapokea zile channel za bure tu kwakuwa kwa upande wa Satellite kuna channel za bure nyingi sana ni namna utakavyopata size ya dish na Satellite husika!

Facebook@MustaphaMaDish
Instagram@MustaphaMaDish
Cell:+255789476655

Share:

Nov 18, 2016

MGAHAWA WA CITY SQUARE | POSTA | #FundiMakini

Javio Felix moja kati ya Ile team Mustapha MaDish vile vichwa vichache ninavyoviaminia...
hofu ilinitoka baada ya kumpa safari moja ya kikazi Zanzibar na kurejea akiwa na mrejesho mzuri tu huku akiwa anacheka cheka mpaka jino la mwisho sijui alikaribishwa na urojoo!!
Ingawaje kwa hii ilikuwa changamoto kwake ingawaje mwisho ulikuwa mzuri na alichoondoka nacho hakitampa changamoto tena maana yake kaiva,katika mambo ya mabei bei!!
Kila leo na team yangu tunapiga hatua 1 mbele kutokana na ukweli kwamba huwezi kunyooka ama kumnyoosha mtu kwa siku moja hivyo kinachotokea kila siku mimi na team yangu tunakuwa wabora zaidi!
Tunachoenda kukifanya si kupata wateja wengi zaidi tu la hata wadau na mafundi kwa ujumla wajifunze kupitia sisi nini tunafanya ili nao wafanye kwa wengine!
Tupo ulimwengu wa Digital kwanini tutoe huduma kianalogue!!??
Tunataka uelewe kwanza kabla hujanunua king'amuzi ama hujapata huduma zetu
Hivyo tuulize ili tukueleweshe!
Javio MaDish

#FundiMakini

#Mikonosalama










#Baba Fetty












Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita