Call / WhatsApp +255755949413

Jan 21, 2018

STARTIMES KUWEKA CHANNEL ZA DSTV NA AZAM TV

Niliwahi kupata swali kama hili na nilishawahi kuona matangazo sehemu kadhaa mitandaoni ya kuwa kama unatumia king'amuzi cha Startimes tunaingiza channel za Azam tv na DStv na tangazo lengine kama unatumia king'amuzi cha azam tv unaingiziwa channel za DStv na Startimes pia.... Matangazo...
Share:

Jan 7, 2018

CHEAP CCTV CAMERAS INSTALLATION

  Dunia imebadilika siku hizi ukiachilia umuhimu wa cctv cameras ni kupata ulinzi pia inakujuza kwa urahisi kinachoendelea muda ambapo wewe haupo na zuri zaidi unaweza ukapata kuona kinachoendea hata ukiwa nje ya nchi.. Tupo dar es salaam isipokuwa popote ulipo tanzania...
Share:

Jan 3, 2018

UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2018!?

Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:- Azam tv inauzwa Tsh 135,000/= Hii bila kifurushi wala Ufundi! Ila ina Offer katika...
Share:

Jan 2, 2018

BEI ZA VIFURUSHI KWENYE VING'AMUZI

Leo nakuletea bei ya orodha ya ving'amuzi ( Visimbuzi ) vyote Tanzania, pia utapata kujua idadi ya channels kwa kila kifurushi, naamini hii itakusaidia kujua kifurushi kipi ili ufanye malipo, ambacho naweza kukwambia liwe kama angalizo wakati unafanya malipo washa kwanza...
Share:

Jan 1, 2018

JE KOPO LINASAIDIA KIPINDI CHA MVUA!?

"Kwenye Kisimbuzi ( King'amuzi ) kinachotumia Dish kufunika lnb kwa KOPO hakusaidii chochote katika kufanya Kisimbuzi chako kisisumbue wakati wa MVUA..." Tukirejea nyuma kidogo hata waliotengeneza SET ya dish waliangalia kama maisha ya dish ni ya kukutana na mvua na...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413