Call / WhatsApp +255755949413

Nov 3, 2014

USISUMBUKE | PIGA +255658046655 | TUNAKUFATA ULIPO

Nilichogundua ni kwamba nina wadau wengi sana ambao haipiti siku bila kutembelea haka kablog chetu na kupata mawili matatu kuhusu ukanda huu.. Wengi mnataka kujua habari za ving'amuzi na huduma kwa ujumla.. Ufumbuzi wa ving'amuzi vyote upo kwenye haka kablog,maana yake ukishindwa...
Share:

Nov 1, 2014

HDMI CABLE

Imenipelekea kuandika post hii kutokana na simu niliyoipokea hivi karibuni kutoka Dodoma,lakini kabla ya simu hiyo kuwaelewesha wadau wangu kuhusu HDMI CABLE ni kawaida tu ila kwenye hii blog yetu leo wacha nitoe kile kidogo nilichonacho kwa wadau wangu! Unapozungumzi...
Share:

Oct 29, 2014

DSTV PACKAGES | VIFURUSHI VYA DSTV

Lengo la kuwa na vifurushi tofauti ni kutoa fulsa kwa kila mdau kuweza kununua na kufanya malipo ya mwezi kutokana na uwezo wake. Hivi ndivyo vifurushi vya DStv,idadi ya channel na bei kwa ujumla:- 1-DSTV BOMBA PACKAGE Ina channel 65+ bora Bei mpya ni Tsh 19,000 Bofya...
Share:

Oct 27, 2014

VING'AMUZI VISIVYO NA MALIPO

Nilichogundua ni kwamba watanzania wengi wanapenda ving'amuzi rahisi,rahisi kwenye kununua na katika ulipaji wa kila mwezi na pindi linapotokea swala la kutokuwa na malipo ya mwezi inakuwa ndio unafuu zaidi,kwasababu wanzania wengi wenzangu na mie... DIGITEK Hiki hakina...
Share:

Oct 26, 2014

UNATAKA AZAM TV? | TUNAKUFATA | UNALIPIA | UNAFUNGIWA PAPO HAPO!

Hapa tunazungumzia malipo ya mwezi ni Tsh 12500/= Unapata jumla ya channel 60. Ukitaka kuzijua bofya hapa Huduma hii inaweza kukufata popote ulipo ndani ya dar es salaam na malipo ukafanyia nyumbani ama mahali ulipo kabla ya kufungiwa king'amuzi chako. Hii itakurahisishia...
Share:

Oct 16, 2014

NAWALETEA CONTINENTAL YA DISH

Hatimae marejeo yamekuwa mazuri,ambapo sasa macho ya watanzania na wadau wa ving'amuzi kwa ujumla yameelekezwa kwa Digitek kuona yakuwa nao watatoa dish baada ya Continental kutoa Dish! Hii inamaanisha leo ukihitaji king'amuzi cha Continental nitakachokuuliza cha kwanza.. unataka...
Share:

UWEZO BINAFSI

Ijapokuwa imepita miezi ipatayo 10 ila hili ni moja kati ya niyakumbukayo na ya kujivunia pia na sababu napokea simu mpaka wakati mwengine naona imepitiliza ila kwakuwa ndo kazi yangu sinabudi kumaliza shida za wadau wangu... Nakumbuka ni maeneo ya sinza pale kumekucha...
Share:

Oct 13, 2014

HII SIO SAWA KABISA

...nilipoona Dish hii ya DStv wala sikushangaa sana na badala yake ndipo nikaamua kupiga picha ili alau kile ambacho nilichokuwa sijawahi hata kukumbusha tukumbushane kwa pande zote mbili.. Mafundi wenzangu na wateja wetu pia wote wa ving'amuzi kwa ujumla hasa vile vya kutumia...
Share:

Oct 12, 2014

KING'AMUZI CHA BEI RAHISI KULIKO VYOTE TANZANIA

Swali? Je unahitaji urahisi wa kulipa malipo ya mwezi ama kununua..!? Limekuwa kama tatizo hivi kwa nchi yetu toka lilipokuja swala la udigital kuingia na kulazimika kila aliye Tanzania ili uangalie tv ni lazima king'amuzi kihusike! Issue inakuwa hapa kuhusu king'amuzi!! Kipi...
Share:

Oct 11, 2014

STARTIMES YA DISH

King'amuzi ambacho kilipoanza kilipokelewa vizuri sana,watanzania wengi walinunua ila baadae kidogo kulitokea tatizo,tatizo ambalo liliwaweka wakati mgumu sana hasa katika kupata wateja wapya na wale wa zamani kutafuta namna ya kuondokana na tatizo hilo.. Tatizo la signal...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645529

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413