Call / WhatsApp +255755949413

May 18, 2015

KWANINI TUMELAZIMIKA KUIGIA DIGITAL NA KUACHANA NA ANALOGUE?

Mabadiliko katika mfumo wa utangazaji kutoka mfumo wa analojia kwenda katika mfumo wa dijitali ni utaratibu ambao unaendelea ulimwenguni kote. Mabadiliko haya yanatokana na makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa lenye dhamana ya masuala ya mawasiliano...
Share:

May 11, 2015

VING'AMUZI VINAVYOCHUANA | AZAM TV & DSTV | KIPI NI ZAIDI!?

Dstv ni wakongwe hii haina ubishi,ila ukongwe wa dstv haina maana kuwa hakuna king'amuzi ambacho kinaweza kuja na kufanya vizuri zaidi yake,hii inatokana na kwanza kujua mahitaji ya watazamaji kwa ujumla na kuwatimizia kile wanachokihitaji,unafuu wa bei ukizingatiwa. Azam...
Share:

May 1, 2015

STAR TV | AZAM TV | PAMOJA SASA

Awali ilikuwa ili kupata Star tv kwenye king'amuzi cha Azam ilikuwa ni fundi na ufundi wetu tu,kwani ilikuwa tunafunga satellite mbili kwa wakati mmoja ila baadae wenye mali yao hapo Satellite ya Amos 5 wakafanya ya kufanya. Baada ya vuta nikuvute hatimae sasa Star tv imeungana...
Share:

Apr 27, 2015

MVUA NA VING'AMUZI VYETU

Kwa kawaida mvua inapokuwa inanyesha watu wengi nami nikiwa mmojawapo huwa mapenzi yapo kukaa sehemu tulivu kama panaruhusu unaangalia tv,iwe ni movie ama vyovyote vile ijapokuwa mimi mapenzi yangu kuangalia movie... Ikiwa una king'amuzi chako na unataka kuangalia huku...
Share:

Apr 14, 2015

VING'AMUZI VYA ANTENNA

EASY TV King'amuzi cha kwanza cha antenna ambacho mpaka sasa kipo ila kiukweli kama wanasua sua na kujikuta kila kukicha wanapoteza wateja badala ya kuongeza wateja. Sababu ya king'amuzi hiki kupoteza wateja kila kukicha ni kutokana kukosa kuwapa uhakika wateja wao na wale...
Share:

Apr 9, 2015

BEI MPYA ZA MALIPO YA MWEZI DSTV

Ikiwa wadau wapo katika kulala na kuomba angalau gharama za malipo ya mwezi zipungua,hali imekuwa tofauti kutokana na gharama za uendeshaji ambapo imepelekea kupanda kwa bei za malipo ya mwezi kwa vifushi vyote vya Dstv kama ifuatavyo:- BOMBA PACKAGE  Awali ilkuwa tsh...
Share:

Mar 27, 2015

VIFURUSHI VYA AZAM TV | AZAM TV PACKAGES

Awali hakukuwa na mfumo huu wa vifurushi ila kutokana na uendeshaji na kutafuta maboresho imepelekea kuanza mfumo huu wa vifurushi,katika kumbukumbu za wengi ndicho king'amuzi kilichokuwa quality,channels nyingi ila malipo ya mwezi ni madogo! Hivi ndivyo vifurushi vya...
Share:

Mar 20, 2015

BEI ZA VING'AMUZI NJE YA DAR ES SALAAM

Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu bei za ving'amuzi katika mikoa yote ukiacha dar es salaam ijapokuwa baadhi ya wauzaji wa dar es salaam hili linawahusu! Hapa nazungumzia ving'amuzi vyote vilivyopo tanzania,kampuni husika wanatoa bei elekezi ambapo bei hiyo inapaswa...
Share:

Mar 1, 2015

BEI MPYA YA AZAM TV TSH 135,000/=

Hii ni kwa wateja wapya ambao wanataka kujiunga na azam tv,bei ya vifaa ni tsh 135,000/= hii namaanisha bila ufundi wala kifurushi! Ili kufurahia huduma za azam tv inakupasa kufata utaratibu huu:- VIFAA tsh 135,000/= Inajumuisha Dish ikiwa na LNB,,Decoder ikiwa na smart...
Share:

BEI MPYA YA DSTV TSH 99,000/= BILA UFUNDI

Baada ya ile offer ya tsh 99,000/= Hii inajumuisha vifaa bila ufundi! Kisha unachagua kifurushi ukipendacho kati ya hivi:- 1.Bomba package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei 2.Family package bofya hapa kujua channel zilizopo na bei 3.Compact package bofya...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645523

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413