Call / WhatsApp +255755949413

Feb 22, 2018

CHANNEL ZA TANZANIA NI BURE KWENYE VING'AMUZI

Imekuwa kuna kuulizwa kila siku na watumiaji wa ving'amuzi ni kwanini local channel hazibaki kwenye ving'amuzi baada ya kifurushi alicholipia kuisha, wakati huo huo ving'amuzi vyengine channels za local zinabaki! Ni kwamba channels zinazotakiwa kubaki hata kama kifurushi chako...
Share:

Feb 15, 2018

Follow page yetu Instagram @mustaphamadish

Follow @mustaphamadish Kwa habari zote za ving'amuzi ( Visimbuzi ) vya Tanzania kama:- Azamtv  Continental  DStv  Digitek  Startimes  Zukutv  Ting n.k vya bure na kulipia.. Kujua:- Bei Offer zilizopo Vifurushi Msaada kiufundi Kununua Ushauri...
Share:

KING'AMUZI KITAKACHOONYESHA AFCON 2019 MECHI ZOTE

Ikiwa tunaelekea kwenye mashindano ya mataifa ya Africa AFCON kuna jambo la muhimu ambalo unapaswa kulijua ni king'amuzi gani kitaonyesha mechi zote live kutoka Egypt...!!?? King'amuzi kilicho na idhini ya kuonyesha mechi zote ni kimoja tu DStv! Kama tayari...
Share:

Jan 21, 2018

STARTIMES KUWEKA CHANNEL ZA DSTV NA AZAM TV

Niliwahi kupata swali kama hili na nilishawahi kuona matangazo sehemu kadhaa mitandaoni ya kuwa kama unatumia king'amuzi cha Startimes tunaingiza channel za Azam tv na DStv na tangazo lengine kama unatumia king'amuzi cha azam tv unaingiziwa channel za DStv na Startimes pia.... Matangazo...
Share:

Jan 7, 2018

CHEAP CCTV CAMERAS INSTALLATION

  Dunia imebadilika siku hizi ukiachilia umuhimu wa cctv cameras ni kupata ulinzi pia inakujuza kwa urahisi kinachoendelea muda ambapo wewe haupo na zuri zaidi unaweza ukapata kuona kinachoendea hata ukiwa nje ya nchi.. Tupo dar es salaam isipokuwa popote ulipo tanzania...
Share:

Jan 3, 2018

UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2018!?

Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:- Azam tv inauzwa Tsh 135,000/= Hii bila kifurushi wala Ufundi! Ila ina Offer katika...
Share:

Jan 2, 2018

BEI ZA VIFURUSHI KWENYE VING'AMUZI

Leo nakuletea bei ya orodha ya ving'amuzi ( Visimbuzi ) vyote Tanzania, pia utapata kujua idadi ya channels kwa kila kifurushi, naamini hii itakusaidia kujua kifurushi kipi ili ufanye malipo, ambacho naweza kukwambia liwe kama angalizo wakati unafanya malipo washa kwanza...
Share:

Jan 1, 2018

JE KOPO LINASAIDIA KIPINDI CHA MVUA!?

"Kwenye Kisimbuzi ( King'amuzi ) kinachotumia Dish kufunika lnb kwa KOPO hakusaidii chochote katika kufanya Kisimbuzi chako kisisumbue wakati wa MVUA..." Tukirejea nyuma kidogo hata waliotengeneza SET ya dish waliangalia kama maisha ya dish ni ya kukutana na mvua na...
Share:

Dec 31, 2017

LNB NI NINI...??

Kwenye Technology kuna vifaa ambavyo kuvitafutia lugha ya kiswahili moja kwa moja hakuna ila nitakachojitahidi kufanya ni kukupa urahisi ili uelewe pasi kutoka nje ya maana yenyewe. LNB ni nini? LNB ama kwa kirefu chake ni Low Noise Block downconverter, ni kidubwana,kifaa...
Share:

Dec 21, 2017

KUTUMIA KING'AMUZI KIMOJA KWA TV ZAIDI YA 1

Ving'amuzi vyote unavyovijua wewe iwe vya bure ama vya kulipia, nikiwa na maana vyenye kulipia malipo ya mwezi na visivyo na malipo ya mwezi, unaweza kutumia king'amuzi kimoja kwa tv zaidi ya moja, kwa kutumia king'amuzi kimoja unaweza kugawa picha kwa tv hata zikiwa 100. Hii...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645526

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413